watu 16 wafikishwa mahakama ya kisutu kwa tuhuma za ugaidi leo
Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii WAKAZI wa jijini Dar es Salaam 16 leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na kesi mbili tofauti ikiwemo ikiwemo kula njama na kusaidia wenzao kufanya ugaidi sehemu mbalimbali Tanzania na kutumia mtandao wa Fesibuku kupata mbinu za kutengeza mabomu ya kwenda kufanya ugaidi nchini Kenya. Katika kesi ya kwanza washtakiwa hao ni, Nassor Abdallah, Hassan Suleimani, Anthari Ahmed, Mohamed Yusuph, Abdallah Hassan maarufu kama Jibaba,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FPx4KkWZm7E/XphHaSF-7GI/AAAAAAALnK0/_BeSHkqlvRkAZPNMIm-7htG81m6yXuL5gCLcBGAsYHQ/s72-c/66cdf9a8-ceca-4c57-b1a0-0dc65a88f770.jpg)
WALIOMSHAMBULIA BINTI MWENYE UMRI WA MIAKA 12 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR
WANAWAKE watatu akiwemo mama mlezi wa binti mwenye umri wa miaka 12, Scholastica Charles (34) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kumfanyia ukatili binti yake (jina limehifadhiwa) na kumsababishia maumivu makali.
Mbali na Scholastica, washtakiwa wengine ni Salma Hamisi (25) na Happy Joshua (44), ambapo wote ni wafanyabiashara wanaoishi Kitunda jijini Dar es Salaam.
Akisoma hati ya mashtaka leo, Wakili wa Serikali...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-b26CKmVYHQM/XlVC1i0p7aI/AAAAAAALfY4/Z8_AEVT5SWcan4tP5SGAVzYPhCU9a6qkwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-25%2Bat%2B16.32.52.jpeg)
RAIA WAWILI WA CHINA WAFIKISHWA KORTINI KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA YA MILIONI 11.5 KWA KAMISHNA MKUU WA TRA
![](https://1.bp.blogspot.com/-b26CKmVYHQM/XlVC1i0p7aI/AAAAAAALfY4/Z8_AEVT5SWcan4tP5SGAVzYPhCU9a6qkwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-25%2Bat%2B16.32.52.jpeg)
RAIA wa wawili wa China wanaoishi Mkoa Iringa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shitaka la kutoa rushwa ya Sh. Milioni 11.5 kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Dk. Edwin Mhede.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU ) Mwakatobe Mshana imewataja washtakiwa hao kuwa ni Heng Rongnan (50) na Ou Ya (47) wote wakazi wa Kinyambo ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-U1qibVnzsLw/Xpp-X3QzURI/AAAAAAALnS0/Db0ppJ7w4MQaznyK6rnKZBgJ_dsOviCywCLcBGAsYHQ/s72-c/images%2B%252821%2529.jpg)
Maafisa watendaji 7 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya wizi wa kutumia mashine za POS
Takukuru mkoa wa Njombe imewafikisha mahakamani wilaya ya Makete maafisa 7 watendaji wa vijiji kwa tuhuma ya wizi wa fedha Tshs.99,321,466/- za halmashauri ya wilaya ya Makete,ambazo zilikuwa ni makusanyo ya mapato ya halmashauri kwa kutumia mashine za POS (Point of Sale electronic Machine)
Mkuu wa Takukuru mkoa wa Njombe Bi.Domina Mukama, amesema kesi zilizofunguliwa mahakamani za maafisa watendaji hao wa vijiji ni.
1.CC.12/2020 Jamhuri dhidi ya Chrispin...
10 years ago
CloudsFM31 Dec
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Sakata la Escrow vigogo watatu wafikishwa Kisutu
9 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO, SAID KUBENEA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO.
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Exclusive: Mahakama ya Kisutu yamwachia huru Askofu Gwajima na wachungaji wake watatu leo
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari cha modewjiblog zimeeleza kuwa Askofu Josephat Gwajima aliyejisalimisha Polisi Central na hatimaye kupelekwa Mahakama ya Kisutu wameachiwa huru kwa dhamana yeye pamoja na wachungaji wake watatu, jijini Dar es Salaam jioni ya leo.
Askofu Gwajima aliwataja Maaskofu hao kuwa ni Askofu Geofrey Andrew, Mchungaji George Mzava na Askofu Yeconia Bihagaze.
Hiyo ni kufuatia kushitakiwa kwa mashitaka mawili yanayowakabili likiwemo kumkashifu Askofu Pengo...
11 years ago
Habarileo24 Jul
Sita mahakamani kwa tuhuma za ugaidi
WATU sita waliokamatwa na polisi juzi, wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu katika sehemu mbalimbali jijini Arusha, wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya ugaidi na kufadhili ulipuaji mabomu.
10 years ago
Michuzimtuhumiwa wa mauaji nchini uingereza apandishwa kizimbani mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam leo