Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbaroni akituhumiwa kuua Polisi

MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumkamatammoja wa watuhumiwa hatari wa mauaji ya askari Poli-si mmoja na askari mgambo katika kituo cha polisi Kimanzichana Mkuranga Mkoani Pwani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili

Polisi Mkoa wa Ilala inamshikilia askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), mwenye cheo cha meja wa Kikosi Miguu Kibaha kwa tuhuma za kuwaua kwa kuwapiga risasi vijana wawili wakazi wa eneo la Pugu Kinyamwezi, wakati wa shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya.

 

11 years ago

KwanzaJamii

INSPEKTA WA POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA KUUA MWANAYE

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16). Makene anadaiwa kutenda kosa hilo Julai 24, mwaka huu katika makazi ya polisi, Mtoni Kijichi, Dar es Salaam na anashikiliwa katika Kituo cha Chang’ombe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema marehemu Alerd alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Inspekta wa Polisi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanaye

>Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16).

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni akituhumiwa kulawiti mtoto

POLISI mkoani Kagera inamshikilia mkazi wa Manispaa ya Bukoba, Jovin Kasuno (22) kwa tuhuma za kulawiti mtoto mwenye umri wa miaka sita na kumuumiza.

 

11 years ago

Mwananchi

Binti mbaroni akituhumiwa kutupa mtoto

Mkazi wa Kijiji cha Namibu wilayani Bunda, Adventina Makongo (17) jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa wilaya hiyo kujibu shtaka la kutupa mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kichakani.

 

11 years ago

Habarileo

6 mbaroni kwa kushambulia, kuua

WATU sita akiwemo Mwenyekiti wa Mtaa, wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kushambulia mtu mmoja kwa fimbo na mawe hadi kumuua. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi alisema miongoni mwa watuhumiwa hao, pia wamo ndugu watatu wa familia moja.

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni akidaiwa kuua mgonjwa

POLISI mkoani Singida inamshikilia mtu anayedaiwa kuwa daktari ‘feki’ kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mgonjwa, mkazi wa kijiji cha Iyumbu, Wilaya ya Ikungi mkoani hapa.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwanamke mbaroni akidaiwa kuua mwanawe

Mkazi wa Kitongoji cha Majengo, Kata ya Uyovu wilayani Bukombe mkoani Geita, Siwema Kayu (27) anadaiwa kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili kutokana na ulevi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa tuhuma za kuua askari

JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikiliwa watu wawili wakazi wa Murubona Wilayani Kasulu kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili akiwemo askari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jaffar Mohamed,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani