Mbaroni akituhumiwa kulawiti mtoto
POLISI mkoani Kagera inamshikilia mkazi wa Manispaa ya Bukoba, Jovin Kasuno (22) kwa tuhuma za kulawiti mtoto mwenye umri wa miaka sita na kumuumiza.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Binti mbaroni akituhumiwa kutupa mtoto
11 years ago
Habarileo28 Jun
Mbaroni akituhumiwa kuua Polisi
MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumkamatammoja wa watuhumiwa hatari wa mauaji ya askari Poli-si mmoja na askari mgambo katika kituo cha polisi Kimanzichana Mkuranga Mkoani Pwani.
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Mbaroni akidaiwa kulawiti watoto
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Mhandisi Msose Michael (35) mkazi wa Mkaongo Juu Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuwalawiti mabinti wawili katika Kijiji cha Zogowale wilayani ya...
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Kortini kwa kulawiti mtoto
Maneno Selanyika na Ramadhani Mwakikato, Dar es Salaam
MKAZI wa Mbezi Beach Dar es Salaam, Tuntutye Mwasyete (25), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kumlawiti mtoto (jina limehifadhiwa) mwenye umri wa mwaka mmoja.
Mbele ya Hakimu, Lilian Rutehangwa, Wakili wa Serikali Masini Musa alidai kwamba tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu huko Kawe.
Mtuhumiwa alikana shtaka hilo na alirejeshwa mahabusu hadi Juni 24 mwaka huu yatakaposomwa maelezo ya awali.
10 years ago
Habarileo14 Aug
Atuhumiwa kulawiti mtoto wa mkewe
MKAZI wa eneo la Majengo mjini Manyoni, Juma Saidi (32) anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto wa mkewe. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 14, anasoma Kidato cha Kwanza katika shule moja ya sekondari wilayani Manyoni na inadaiwa alifanyiwa kitendo hicho juzi saa 6 usiku nyumbani kwao.
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Jela maisha kwa kulawiti mtoto
11 years ago
Mwananchi21 Jul
10 years ago
Habarileo16 Nov
Padri aliyekuwa akitafutwa kwa kulawiti mtoto afariki
MTUHUMIWA wa kesi ya kulawiti mtoto wa kiume, aliyekuwa akitafutwa na Mahakama ya Rufaa, Sixtus Kimaro, ambaye alikutwa na tuhuma hizo wakati akiwa Padri katika Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amefia nchini Msumbiji na mwili wake umesafirishwa kuja Dar es Salaam.