Jela maisha kwa kulawiti mtoto
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemuhukumu kifungo cha maisha jela, Seleman Nassibu (20) baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka 13.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Polisi jela maisha kwa kubaka, kulawiti mtoto
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu askari polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, G 9762 PC Daniel (24) kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na makosa ya kubaka na kumlawiti mtoto wa miaka 13.
Mbali na kifungo hicho, mtuhumiwa huyo ameamriwa kulipa fidia ya Sh milioni 2 ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi, Said Mkasiwa baada ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UZfru-goepo/XpC1KcOwvvI/AAAAAAALmu8/zJr3O_0wlqsXZsg5EKZVXOpUIskYB4DWwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200410-WA0016.jpg)
Ahukumiwa maisha jela kwa kosa la kubaka na kulawiti
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe imemuhukumu Hezron Ndone ( 44) mkazi wa joshoni kata ya mji mwema mjini Njombe kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kumzaa ambaye ni mwanafunzi darasa la tano mwenye umri wa miaka 10.
Akisoma hukumu ya kesi namba 14 ya mwaka 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya mkoa Njombe Hassan Mkakube alisema mtuhumiwaalishtakiwa kwa makosa manne mawili ya kuzini na maalimu kinyume na...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Jela maisha kwa kumdhalilisha mtoto
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi, imemhukumu Athuman Mussa (54), mkazi wa Mtaa wa Nsemlwa Mjini, kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumwingizia uume mdomoni...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Jela maisha kwa kumlawiti mtoto
10 years ago
Mwananchi26 Dec
‘Houseboy’ jela maisha kwa kubaka mtoto
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa dada yao
10 years ago
Habarileo23 Feb
Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka mitano
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha maisha Kashindje Shija (50), baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitano.
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Kortini kwa kulawiti mtoto
Maneno Selanyika na Ramadhani Mwakikato, Dar es Salaam
MKAZI wa Mbezi Beach Dar es Salaam, Tuntutye Mwasyete (25), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kumlawiti mtoto (jina limehifadhiwa) mwenye umri wa mwaka mmoja.
Mbele ya Hakimu, Lilian Rutehangwa, Wakili wa Serikali Masini Musa alidai kwamba tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu huko Kawe.
Mtuhumiwa alikana shtaka hilo na alirejeshwa mahabusu hadi Juni 24 mwaka huu yatakaposomwa maelezo ya awali.
10 years ago
Habarileo27 Dec
Aliyelawiti mtoto wa miaka 6 atupwa jela maisha
MFANYAKAZI wa nyumbani, Hatibu Adamu (20) amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kike wa miaka sita.