Binti mbaroni akituhumiwa kutupa mtoto
Mkazi wa Kijiji cha Namibu wilayani Bunda, Adventina Makongo (17) jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa wilaya hiyo kujibu shtaka la kutupa mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kichakani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Sep
Mbaroni akituhumiwa kulawiti mtoto
POLISI mkoani Kagera inamshikilia mkazi wa Manispaa ya Bukoba, Jovin Kasuno (22) kwa tuhuma za kulawiti mtoto mwenye umri wa miaka sita na kumuumiza.
11 years ago
Habarileo28 Jun
Mbaroni akituhumiwa kuua Polisi
MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumkamatammoja wa watuhumiwa hatari wa mauaji ya askari Poli-si mmoja na askari mgambo katika kituo cha polisi Kimanzichana Mkuranga Mkoani Pwani.
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Mbaroni kwa kutupa kichanga
JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia Theresia Matia (19) mkazi wa Kwamatiasi, Wilaya ya Kibaha, Pwani kwa tuhuma za kutupa mtoto mchanga. Tukio hilo limetokea juzi, saa 3 usiku ambapo...
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Mbaroni kwa kutupa kichanga porini
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kgTogVO-CgI/U4bMyuvpKDI/AAAAAAAFmBQ/PyqPzr9Rc5o/s72-c/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
MSICHANA WA KAZI ATIWA MBARONI KWA KUTUPA KICHANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-kgTogVO-CgI/U4bMyuvpKDI/AAAAAAAFmBQ/PyqPzr9Rc5o/s1600/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
MSICHANA Theresia Matai (19) ambaye ni mfanyakazi wa ndani mkazi wa Kwa Mathias wilayani Kibaha mkoani Pwani anashaikiliwa na Jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumtupa mtoto wake aliyejifungua.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 27 mwaka huu majira ya saa 3 usiku.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea eneo la Mwembe...
11 years ago
GPLWATU 8 MBARONI KWA KUTUPA VIUNGO VYA BINADAMU DAR
10 years ago
StarTV24 Nov
Mama ashtakiwa kwa kutupa mtoto.
Mama mmoja nchini Australia anashtakiwa kwa kosa la jaribio la mauaji dhidi ya mtoto wake mchanga ambaye alikutwa akilia katika eneo alilotelekezwa kwenye mfereji unaopitisha maji machafu pembeni ya barabara mjini Sydney,ambapo Polisi wanakisia kuwa mtoto huyo alikuwa katika eneo hilo kwa siku tano.
Waendesha baiskeli walisikia sauti ya mtoto ikitokea kwenye eneo hilo siku ya jumapili.
Mwanamke huyo,Saifale Nai alitiwa nguvuni na Polisi baada ya msako uliodumu kwa saa kadhaa kwa kupata...
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Mama ashtakiwa kutupa mtoto Sydey