Mbaroni kwa kutupa kichanga porini
Kigoma. Mkazi wa Kijiji cha Muhunga kilichopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma (Gloria Rubeben(20) anashikiliwa na polisi mkoani humo kwa kumtupa mtoto wake wa siku nne katika kichaka na hatimaye kufa baada ya kuungua na moto uliowaka katika kichaka hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Mbaroni kwa kutupa kichanga
JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia Theresia Matia (19) mkazi wa Kwamatiasi, Wilaya ya Kibaha, Pwani kwa tuhuma za kutupa mtoto mchanga. Tukio hilo limetokea juzi, saa 3 usiku ambapo...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kgTogVO-CgI/U4bMyuvpKDI/AAAAAAAFmBQ/PyqPzr9Rc5o/s72-c/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
MSICHANA WA KAZI ATIWA MBARONI KWA KUTUPA KICHANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-kgTogVO-CgI/U4bMyuvpKDI/AAAAAAAFmBQ/PyqPzr9Rc5o/s1600/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
MSICHANA Theresia Matai (19) ambaye ni mfanyakazi wa ndani mkazi wa Kwa Mathias wilayani Kibaha mkoani Pwani anashaikiliwa na Jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumtupa mtoto wake aliyejifungua.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 27 mwaka huu majira ya saa 3 usiku.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea eneo la Mwembe...
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Adakwa akienda kutupa kichanga!
Kichanga kilichotaka kutupwa na mama yake.
Deogratius Mongela na Chande Abdallah
INASIKITISHA! Wakati watu wengi wakisaka watoto kwa udi na uvumba, mama anayejulikana kwa jina la Ruth, mkazi wa Mbezi jijini Dar amenusurika kichapo kutoka kwa wananchi baada ya kumdaka akiwa kwenye harakati za kutaka kumtupa mtoto baada ya kujifungua.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio, siku ya tukio, Desemba 14, mwaka huu, majira ya saa 2 asubuhi, walimuona Ruth ambaye alikuwa mjamzito akilalamika kuwa tumbo...
11 years ago
GPLWATU 8 MBARONI KWA KUTUPA VIUNGO VYA BINADAMU DAR
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Binti mbaroni akituhumiwa kutupa mtoto
9 years ago
Mwananchi21 Dec
Wakazi Chamwino waishi kwa kula matunda ya porini
10 years ago
StarTV24 Nov
Mama ashtakiwa kwa kutupa mtoto.
Mama mmoja nchini Australia anashtakiwa kwa kosa la jaribio la mauaji dhidi ya mtoto wake mchanga ambaye alikutwa akilia katika eneo alilotelekezwa kwenye mfereji unaopitisha maji machafu pembeni ya barabara mjini Sydney,ambapo Polisi wanakisia kuwa mtoto huyo alikuwa katika eneo hilo kwa siku tano.
Waendesha baiskeli walisikia sauti ya mtoto ikitokea kwenye eneo hilo siku ya jumapili.
Mwanamke huyo,Saifale Nai alitiwa nguvuni na Polisi baada ya msako uliodumu kwa saa kadhaa kwa kupata...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAEWrfoEYYvJe8VsWt0bsnaAYIgduwC82K4KCG2NlGN9M4VHYvsmOCkmnJu9zxXXHzRsWL88wZzdyWiZceK0hevG/FRONT.gif)
ROSE MHANDO: NILITEKWA KWA BASTOLA NIKAPELEKWA PORINI KUFANYA MAPENZI
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Watozwa Sh50,000 kwa kutupa taka ovyo