Wakazi Chamwino waishi kwa kula matunda ya porini
Halmashauri ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma imetangaza kuwa wilaya hiyo inakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula na kusababisha baadhi ya wakazi wake kuishi kwa kula matunda ya porini, mboga na unga wa ubuyu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Siasa imevunja umoja, ikateua wachache kula matunda ya nchi
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Siasa ievunja umoja,ikateua wachache kula matunda ya nchi
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Miradi ya TASAF yawainua wakazi Chamwino
WAKAZI wa Kijiji cha Ndogowe na Ng’ambaku katika Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma, wamesema miradi inayosimamiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) imekuwa mkombozi wa kuwaondolea umaskini. Aidha, walieleza...
11 years ago
Habarileo05 Jan
Wakazi Chamwino walia kupewa kesi bandia
WAKAZI wa Kijiji cha Msanga Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, wamewalalamikia watendaji wa kijiji hicho na kata kwa kuwakamata wananchi, kuwabambikia kesi na kuwatoza faini bila kuwapatia stakabadhi ya malipo.
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Wakazi walazimika kula mizizi
WAKAZI wa Kata za Mashewa na Mkomazi, wilayani Korogwe, mkoani Tanga wamelazimika kula mizizi ya miti na matunda ili kunusuru maisha yao kutokana na kukabiliwa na baa la njaa. Kufuatia...
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Wakazi wakiri kula kinyesi bila kujua wilayani Karagwe
11 years ago
Michuzi20 Feb
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Vijana waishi vyooni kwa ugumu wa maisha
VIJANA wanne wakazi wa mji wa O’murushaka, Kata ya Bugene, wilayani Karagwe, wanaishi kwenye vyoo vya huduma vya wasafiri vilivyopo katika mji huo kwa miezi sita sasa kwa madai ya...
11 years ago
Mwananchi11 Apr
Pacha waliotenganishwa India waishi kwa shida