Wakazi Chamwino walia kupewa kesi bandia
WAKAZI wa Kijiji cha Msanga Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, wamewalalamikia watendaji wa kijiji hicho na kata kwa kuwakamata wananchi, kuwabambikia kesi na kuwatoza faini bila kuwapatia stakabadhi ya malipo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Miradi ya TASAF yawainua wakazi Chamwino
WAKAZI wa Kijiji cha Ndogowe na Ng’ambaku katika Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma, wamesema miradi inayosimamiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) imekuwa mkombozi wa kuwaondolea umaskini. Aidha, walieleza...
9 years ago
Mwananchi21 Dec
Wakazi Chamwino waishi kwa kula matunda ya porini
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Wakazi walia na maafa ya kila mwaka
WANANCHI wa kitongoji cha Mwayunge mjini Igunga mkoani Tabora wameulalamikia uongozi wa wilaya hiyo kwa kushindwa kudhibiti maafa yanayotokea kila mwaka nyakati za masika. Wakizungumza na waandishi wa habari kwa...
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Wakazi Kivule walia na viongozi Ukonga
WAKAZI wa Kata ya Kivule jijini Dar es Salaam wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kusikiliza kilio chao na kuwaondolea kero ambazo zimedumu muda mrefu katika Kata hiyo. Akizungumza na Waandishi wa...
10 years ago
Habarileo20 Aug
Kesi ya vipimo bandia vya HIV
KESI ya kuingiza nchini vipimo bandia vya kupima virusi vya Ukimwi (HIV) na kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni tatu, inayowakabili vigogo wawili wa Bohari ya Dawa (MSD) na wenzao imeahirishwa hadi Septemba 4 mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Kesi za watoto kupewa kipaumbele
9 years ago
GPL06 Sep
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Wakulima walia na uendeshaji wa kesi za mifugo
KUNDI la wakulima katika Kijiji cha Pongwe Kiona wamelalamikia uendeshwaji wa kesi za migogoro baina yao na wafugaji hatua inayochangia kuendelea kujitokeza kwa manyanyaso kwa kundi hilo. Wakizungumza katika mkutano...
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Kesi za albino kupewa umuhimu-Jaji Chande
NA FURAHA OMARY
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohammed Chande, amesema mahakama itazipa kipaumbele kesi za mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albinism) na mauaji ya vikongwe si tu kwa kiwango cha Mahakama Kuu, bali hadi Mahakama ya Rufani.
Amesema mauaji ya watu hao yanagusa kila Mtanzania na ni uhalifu wa hali ya juu na pia kuvunja haki za watu wengine.
Jaji Mkuu Chande aliyasema hayo jana mjini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya Jaji Kiongozi Shaaban Lila, kuwaapisha manaibu wasajili 43.
“Mauaji...