Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi walazimika kula mizizi

WAKAZI wa Kata za Mashewa na Mkomazi, wilayani Korogwe, mkoani Tanga wamelazimika kula mizizi ya miti na matunda ili kunusuru maisha yao kutokana na kukabiliwa na baa la njaa. Kufuatia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wakazi Chamwino waishi kwa kula matunda ya porini

Halmashauri ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma imetangaza kuwa wilaya hiyo inakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula na kusababisha baadhi ya wakazi wake kuishi kwa kula matunda ya porini, mboga na unga wa ubuyu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakazi wakiri kula kinyesi bila kujua wilayani Karagwe

>Baadhi ya wananchi wa  Kijiji cha Kafunjo, Kata ya Kiruruma, wilayani Karagwe, mkoani Kagera, wamesema wamekuwa wanakula kinyesi bila kujua kutokana na kutokuwa na vyoo bora.

 

10 years ago

Mwananchi

Wagonjwa walazimika kujisaidia porini

Zahanati ya Kijiji cha Sandulula wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, inakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwamo kukosa choo, hivyo kusababisha wagonjwa kujisaidia haja ndogo na kubwa porini.

 

10 years ago

Mtanzania

Wafanyakazi Muhimbili walazimika kuchangia damu

TUNU NASSOR NA MWANTUMU SAADI,
DAR ES SALAAM
KUTOKANA na uhaba wa damu ulioikumba Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wafanyakazi wa hospitali hiyo na ndugu wa wagonjwa, wamelazimika kuchangia damu kunusuru maisha ya wagonjwa .

Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa hospitali hiyo, Aminieli Aligaesha, alisema wamelazimika kutumia wafanyakazi wa hospitali hiyo na ndugu wa wagonjwa kama chanzo cha ndani na kwa siku ya jana...

 

11 years ago

Habarileo

Walazimika kutoa Sh 2000/- kupata barua za utambulisho

WANAFUNZI waliohitimu darasa la saba katika shule za msingi Kizuiani na Kibonde Maji katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam wamelazimika kulipa fedha kati ya Sh 1,000 na 2,000 ili waweze kupatiwa barua za utambulisho.

 

9 years ago

Mtanzania

Kipindupindu chaota mizizi Dar

Pg 3 sept 18TUNU NASSOR NA HERIETH FAUSTINE, DAR ES SALAM

UGONJWA wa kipindupindu umeendelea kuota mizizi jijini Dar es Salaam, baada ya kuzidi kuenea na kufanya idadi ya watu waliougua hadi sasa kufikia 1,458.

Kati ya wagonjwa hao, waliopoteza maisha wamefika 18, huku wagonjwa wapya ambao wameripotiwa kati ya juzi na jana, wamefika 61.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, maofisa wa afya wa wilaya za Temeke, Kinondoni na Ilala, walisema wagonjwa wapya walioripotiwa kuanzia juzi saa 10...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mizizi ya Cuba Sierra Leona

Takriban Waafrika milioni moja walipelekwa Cuba wakati wa biashara ya utumwa kupitia bahari ya Atlantiki, ambao wengi walichukuliwa kwa nguvu kufanya kazi kwenye mashamba ya miwa kisiwani humo.

 

5 years ago

Michuzi

WALAZIMIKA KUHAMA MAKAZI YAO KUKWEPA ADHA YA MAFURIKO

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti nchini zimeendelea kuleta  madhara,ambapo  Wilayani Kilombero Wakazi wa Kijiji Cha Nyange Kichangini kitongiji Cha Msolwa Stesheni  wameladhimika kuyahama makazi yao  kutokana  na mafuriko



 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaota mizizi Dar, Morogoro

Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kipindupindu uliolikumba jiji la Dar es Salaam imeongezeka na kufikia saba huku waliolazwa wakifikia 230 na Mkoa wa Morogoro ukiwa na wagonjwa 32 na mmoja kupoteza maisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani