Kipindupindu chaota mizizi Dar, Morogoro
Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kipindupindu uliolikumba jiji la Dar es Salaam imeongezeka na kufikia saba huku waliolazwa wakifikia 230 na Mkoa wa Morogoro ukiwa na wagonjwa 32 na mmoja kupoteza maisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Kipindupindu chaota mizizi Dar
TUNU NASSOR NA HERIETH FAUSTINE, DAR ES SALAM
UGONJWA wa kipindupindu umeendelea kuota mizizi jijini Dar es Salaam, baada ya kuzidi kuenea na kufanya idadi ya watu waliougua hadi sasa kufikia 1,458.
Kati ya wagonjwa hao, waliopoteza maisha wamefika 18, huku wagonjwa wapya ambao wameripotiwa kati ya juzi na jana, wamefika 61.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, maofisa wa afya wa wilaya za Temeke, Kinondoni na Ilala, walisema wagonjwa wapya walioripotiwa kuanzia juzi saa 10...
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Kipindupindu chaingia Morogoro, mmoja afariki dunia
9 years ago
Michuzi31 Aug
HALI YA KIPINDUPINDU MOROGORO BADO TETE IDADI YA WAGONJWA YAONGEZEKA.
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/xO33mIAj5iY_y9FpMJXlotqHxShewxng8bTmGXVYrzY7PL0nEahgaSFhGYDhk2GgWvAfmo7ckdYI_JDT0V7xsb4=s0-d-e1-ft#http://www.itv.co.tz/media/image/MORO30.jpg)
Akizungumza na mtandao huu afisa afya mkoa wa Morogoro Carlesilas Lyimo amesema kutokana na kasi ya ongezeko la kipindupindu maafisa afya wamefanya operesheni katika maeneo mbalimbali yanayotoa huduma za chakula na vinywaji na kufanikiwa kukamata na...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Dar yakumbwa na kipindupindu
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Kipindupindu chapungua DAR
Moja ya kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu jijini Dar.
Na Jacquiline Mrisho- Maelezo
Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu jijini Dar es salaam imepungua kufikia wagonjwa kumi na mbili (12) kwa mkoa mzima, huku wilaya ya Temeke ikiwa na wagonjwa saba,Kinondoni wagonjwa wanne na Ilala ikiwa na mgonjwa mmoja
Haya yamezungumzwa na Mratibu wa Magonjwa ya kuambukiza wa Jiji la Dar es salaam Bw. Alex Mkamba ofisini kwake jana akielezea jinsi gani mkoa umefanikisha kupambana na kipindupindu kwa...
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Kipindupindu chatua Dar
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
UGONJWA wa kipindupindu umelipuka tena Dar es Salaam na kusababisha watu kadhaa kulazwa katika hospitali mbalimbali.
Wagonjwa hao wamelazwa katika hospitali za Sinza Palestina na Mwananyamala.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Dk. Sophinias Ngonyani, alisema wagonjwa waliothibitika kuwa na kipindupindu na kulazwa hospitalini hapo ni wawili.
Alisema wagonjwa hao ambao ni mwanamke na mwanaume wanatoka Tandale na...
9 years ago
Habarileo06 Nov
Kipindupindu chaitesa Dar es Salaam
UGONJWA wa kipindupindu bado unasumbua mkoa wa Dar es Salaam ambapo hadi sasa tayari watu 40 wamepoteza maisha huku wakiibuka wagonjwa wapya kila siku katika hospitali zilizopo jijini humo.
9 years ago
Mwananchi19 Aug
Kipindupindu chaua mwingine Dar