Klabu ya Aston Villa yamtimua kocha wao Tim Sherwood
Klabu ya Aston Villa imemtimua kazi kocha wake Tim Sherwood baada ya kushika wadhifa huo kwa miezi minane tu. Sherwood alipoteza mechi katika ligi kuu ya England kwa kuchapwa na Swansea kwa mabao 2-1. Kocha wa timu ya vijana chini ya miaka 21 wa Aston Villa, Kevin MacDonald, ndiye atakayeshika umeneja kwa muda mpaka atakapopatikana […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Aston Villa yamtimua Kocha wake
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mLrBGAdL3oY/Xkp1_I1xCcI/AAAAAAALdrI/8zhPOYS5wDgh7DuR8hJ60J9axAe8NUQgACLcBGAsYHQ/s72-c/ef4b9a83-76e4-472a-a6c6-217b14dbdace.jpg)
KLABU YA WYDAD CASABLANCA YA MOROCCO YAMTIMUA KOCHA WAKE MKUU.
Klabu ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco imemtimua kazi kocha wake mkuu Sebastian Desabre mwezi mmoja tu tangu imteue kushika nafasi hiyo.
Kocha huyo amefutwa kazi mara baada ya klabu ya Wydad Casablanca kupoteza mchezo wake wa ligi weekend iliyopita dhidi ya klabu ya Eljadida kwa bao pekee la winga wa kimataifa wa Tanzania Simon Msuva. Bao hilo pekee na la ushindi katika mchezo huo lilitosha kuotesha nyasi kibarua cha kocha huyo.
Sebastian Desabre ameandamwa na...
9 years ago
Bongo502 Nov
Aston Villa wapata kocha mpya
![151102043048_remi_garde_512x288_getty](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/151102043048_remi_garde_512x288_getty-94x94.jpg)
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Aston Villa wamchukua kocha wa zamani wa Lyon
5 years ago
CCM Blog28 May
KOCHA WA ASTON VILLA AFIWA NA BABA YAKE
ByRama Mwelondo TZAonMay 28, 2020
![](https://millardayo.com/wp-content/uploads/2020/05/4C4CE9EF-9E32-4C8E-94BC-13D0BD7892BF-660x400.jpeg)
![](https://millardayo.com/wp-content/uploads/2020/05/4119F042-BF9D-4A8C-852E-84D63ECDCCFE-950x950.jpeg)
9 years ago
Bongo510 Dec
Swansea City yamtimua kocha wao Garry Monk
![2F2C01D600000578-3353199-image-a-5_1449698720082](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F2C01D600000578-3353199-image-a-5_1449698720082-300x194.jpg)
Klabu ya Swensea City hatimaye imemtimua kocha wake Garry Monk baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya 11 ambayo ameingoza Swansea kwenye ligi ya England msimu huu.
Kocha huyo mwenye miaka 36 ameitumikia klabu hiyo zaidi ya miaka 11 akianza kama mchezaji lakini baadaye mwaka 2014 akakabidhiwa timu hiyo kama kocha mkuu akichukua nafasi ya Michael Laudrup.
Kufuatia kipigo cha Jumamosi iliyopita cha magoli 3-0 dhidi ya Leicester City ulikuwa ndio mchezo wake wa mwisho kama kocha na ameiacha...
10 years ago
BBCSwahili09 May
Tim Sherwood:'Benteke ndiye bora Ulaya'
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Kocha mpya wa Aston Villa, Remi Garde aanza kwa kipigo kutoka kwa Tottenham
Kocha mpya wa Aston Villa, Mfaransa Remi Garde.
Na Rabi Hume
Kocha mpya wa Aston Villa, Mfaransa Remi Garde ameanza kwa kupokea kipigo katika mchezo wake wa kwanza akiwa kama meneja mpya wa klabu ya Aston Villa baada ya kupokea kipigo cha goli 3 kwa 1 kutoka kwa Totthenham Hotspur katika mchezo wa Ligu kuu ya nchini Wingereza uliochezwa katika uwanja wa White Hate Line.
Garde alipokea kipigo hicho akiwa jukwaani akiutazama mchezo huo ikiwa ni siku moja ya kwanza baada ya kupewa mkataba wa...