Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOCHA WA ASTON VILLA AFIWA NA BABA YAKE


ByRama Mwelondo TZAonMay 28, 2020
Baba wa kocha wa Aston Villa Dean Smith ambaye baba yake anafahamika kwa jina la Ron Smith afariki dunia akiwa na umri wa miaka 79, Ron afariki kwa kuugua Corona toka agundulike wiki nne zilizopita na kuwa hospitali kwa uangalizi.Ron Smith kwa miaka sita iliyopita hakuwa sawa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu (dementia), katika historia ya mzee Ron aliwahi kuwa steward wa Aston Villa.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Aston Villa yamtimua Kocha wake

Aston Villa imemtimua Kocha wake Paul Lambert baada ya kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano ya Ligi kuu England

 

9 years ago

Bongo5

Aston Villa wapata kocha mpya

151102043048_remi_garde_512x288_gettyKlabu ya Aston Villa imemteua mkufunzi wa zamani wa Lyon, Remi Garde kuwa kocha wao mpya, kuchukua nafasi ya Tim Sherwood aliyefutwa kazi. Mfaransa huyo atasaini mkataba wa miaka mitatu na nusu na mechi yake ya kwanza itakuwa ni tarehe 2/11 Jumatatu dhidi ya Tottenham. Kocha huyo mwenye miaka 49 anachukua timu hiyo ikiwa inashika […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Aston Villa wamchukua kocha wa zamani wa Lyon

Aston Villa wamemchukua mkufunzi wa zamani wa Lyon Remi Garde kuwa kocha wao mpya, kujaza nafasi ya Tim Sherwood aliyefutwa kazi.

 

9 years ago

Bongo5

Klabu ya Aston Villa yamtimua kocha wao Tim Sherwood

Klabu ya Aston Villa imemtimua kazi kocha wake Tim Sherwood baada ya kushika wadhifa huo kwa miezi minane tu. Sherwood alipoteza mechi katika ligi kuu ya England kwa kuchapwa na Swansea kwa mabao 2-1. Kocha wa timu ya vijana chini ya miaka 21 wa Aston Villa, Kevin MacDonald, ndiye atakayeshika umeneja kwa muda mpaka atakapopatikana […]

 

11 years ago

GPL

MTITU AFIWA NA BABA YAKE

STAA wa filamu za kibongo William Mtitu amepata pigo baada ya kufiwa na baba yake mzazi, Mzee John Mtitu aliyekuwa amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na uvimbe kichwani Akizungumza kwa masikitiko nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam, Mtitu alisema amesikitishwa na kifo cha baba yake lakini hana jinsi kwani Mungu amempenda zaidi na hiyo ni njia ya kila mmoja. Staa wa filamu za kibongo, William...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kocha mpya wa Aston Villa, Remi Garde aanza kwa kipigo kutoka kwa Tottenham

Tighe-24

Kocha mpya wa Aston Villa, Mfaransa Remi Garde.

Na Rabi Hume

Kocha mpya wa Aston Villa, Mfaransa Remi Garde ameanza kwa kupokea kipigo katika mchezo wake wa kwanza akiwa kama meneja mpya wa klabu ya Aston Villa baada ya kupokea kipigo cha goli 3 kwa 1 kutoka kwa Totthenham Hotspur katika mchezo wa Ligu kuu ya nchini Wingereza uliochezwa katika uwanja wa White Hate Line.

Garde alipokea kipigo hicho akiwa jukwaani akiutazama mchezo huo ikiwa ni siku moja ya kwanza  baada ya kupewa mkataba wa...

 

11 years ago

GPL

JOHARI AFIWA NA BABA YAKE MDOGO

Msanii Blandina Chagula 'Johari' baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la baba yake mdogo Mzee Clement Chagula. Baadhi ya mastaa wa Bongo Muvi walioshiriki mazishi…

 

9 years ago

Bongo5

Rapper Songa afiwa na baba yake

Rapper Songa amefiwa na baba yake mzazi. Songa ametoa taarifa hiyo ya msiba kupitia Twitter. Nimepata taarifa za kusikitisha sana Leo mchana.Baba yangu mzazi amefariki,Naomba Mungu amlaze pema,shukrani wote mnaondelea kunipa pole. — SONGA (@NiiteSonga) October 26, 2015 Tunampa pole Songa kwa msiba huo. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na […]

 

10 years ago

GPL

BAB TALE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

Hamisi Shaban ‘Bab Tale’. MENEJA wa Kundi la Tip Top Connection na Diamond Platnumz, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, amefiwa na baba yake mzazi leo. Msiba huo umetokea ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu Bab Tale afiwe na mdogo wake ambaye alikuwa mwanzilishi na meneja wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani