Rapper Songa afiwa na baba yake
Rapper Songa amefiwa na baba yake mzazi. Songa ametoa taarifa hiyo ya msiba kupitia Twitter. Nimepata taarifa za kusikitisha sana Leo mchana.Baba yangu mzazi amefariki,Naomba Mungu amlaze pema,shukrani wote mnaondelea kunipa pole. — SONGA (@NiiteSonga) October 26, 2015 Tunampa pole Songa kwa msiba huo. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMTITU AFIWA NA BABA YAKE
11 years ago
GPLJOHARI AFIWA NA BABA YAKE MDOGO
10 years ago
Mtanzania05 May
Babu Tale afiwa na baba yake mzazi
BABA mzazi wa Babu Tale ambaye ni meneja wa Abdul Nassib ‘Diamond’, amefariki dunia mchana wa jana Manzese jijini Dar es Salaam.
Kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tu tangu kaka wa Babu Tale, Abdu Bonge kufariki dunia.
Msanii wa kundi hilo, Madee alithibitisha kutokea kwa kifo hicho huku akieleza kwamba msiba utakuwa nyumbani kwao Manzese ambako palifanyika msiba wa Abdu Bonge.
“Ni kweli baba wa Abdu Bonge amefariki leo (jana) na msiba upo Manzese jijini Dar es Salaam ila chanzo cha...
5 years ago
CCM Blog28 May
KOCHA WA ASTON VILLA AFIWA NA BABA YAKE
ByRama Mwelondo TZAonMay 28, 2020
Baba wa kocha wa Aston Villa Dean Smith ambaye baba yake anafahamika kwa jina la Ron Smith afariki dunia akiwa na umri wa miaka 79, Ron afariki kwa kuugua Corona toka agundulike wiki nne zilizopita na kuwa hospitali kwa uangalizi.Ron Smith kwa miaka sita iliyopita hakuwa sawa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu (dementia), katika historia ya mzee Ron aliwahi kuwa steward wa Aston Villa.
10 years ago
GPLBAB TALE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
11 years ago
Dewji Blog02 Aug
Waziri Amos Makalla afiwa na Baba yake mzazi
Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla anasikitika kutangaza kifo cha babake mzazi, Gabriel Makalla kilichotokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa waziri Palm Residence Ocean Road namba 18E Dar es Salaam, Mwili utaagwa Jumapili katika Kanisa la Azania Front saa 6 mchana.
Baada ya hapo mwili utasafirishwa kwenda Mvomero kwa mazishi yatakayofanyika Jumatatu saa 7 mchana.
Mungu...
9 years ago
Bongo526 Nov
Tanzia: Bou Nako afiwa na baba yake mzazi
Rapa wa kundi la Nako 2 Nako, Bou Nako amefiwa na baba yake mzazi aliyekuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Bou Nako alisema mazishi yatafanyika kesho nyumbani kwao Bukoba.
“Nipo katika wakati mgumu lakini namuomba Mungu anipe wepesi. Kusema ukweli baba aliumwa sana kama miezi mitatu hivi na nadhani ni mapafu yalikuwa yanamsumbua,” amesema.
“Sasa hivi hapa Dar es Salaam tupo katika maandalizi ya kwenda Bukoba kwaajili ya...
10 years ago
Bongo501 Dec
Kitale afiwa na baba yake, atazikwa leo Kilosa, Morogoro
10 years ago
GPLTANZIA‬: MSANII RICHIE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI