TANZIA‬: MSANII RICHIE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
Single Mtambalike 'Richie'. MSANII wa maigizo na filamu nchini, Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia leo, msiba upo Tabata, Dar. Mtandao huu unatoa pole kwa msanii Richie!
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMSANII WA FILAMU NCHINI,SINGLE MTAMBALIKE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
Single Mtambalike 'Richie'.
MSANII wa maigizo na filamu nchini,Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia leo, Msiba upo nyumbani kwao Tabata,jijini Dar es salaam.
10 years ago
Mtanzania05 May
Babu Tale afiwa na baba yake mzazi
BABA mzazi wa Babu Tale ambaye ni meneja wa Abdul Nassib ‘Diamond’, amefariki dunia mchana wa jana Manzese jijini Dar es Salaam.
Kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tu tangu kaka wa Babu Tale, Abdu Bonge kufariki dunia.
Msanii wa kundi hilo, Madee alithibitisha kutokea kwa kifo hicho huku akieleza kwamba msiba utakuwa nyumbani kwao Manzese ambako palifanyika msiba wa Abdu Bonge.
“Ni kweli baba wa Abdu Bonge amefariki leo (jana) na msiba upo Manzese jijini Dar es Salaam ila chanzo cha...
10 years ago
GPLBAB TALE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
11 years ago
Dewji Blog02 Aug
Waziri Amos Makalla afiwa na Baba yake mzazi
Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla anasikitika kutangaza kifo cha babake mzazi, Gabriel Makalla kilichotokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa waziri Palm Residence Ocean Road namba 18E Dar es Salaam, Mwili utaagwa Jumapili katika Kanisa la Azania Front saa 6 mchana.
Baada ya hapo mwili utasafirishwa kwenda Mvomero kwa mazishi yatakayofanyika Jumatatu saa 7 mchana.
Mungu...
9 years ago
Bongo526 Nov
Tanzia: Bou Nako afiwa na baba yake mzazi
Rapa wa kundi la Nako 2 Nako, Bou Nako amefiwa na baba yake mzazi aliyekuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Bou Nako alisema mazishi yatafanyika kesho nyumbani kwao Bukoba.
“Nipo katika wakati mgumu lakini namuomba Mungu anipe wepesi. Kusema ukweli baba aliumwa sana kama miezi mitatu hivi na nadhani ni mapafu yalikuwa yanamsumbua,” amesema.
“Sasa hivi hapa Dar es Salaam tupo katika maandalizi ya kwenda Bukoba kwaajili ya...
10 years ago
Dewji Blog11 Oct
Jaji wa Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike afiwa na baba yake mzazi
Single Mtambalike ‘Richie’.
MSANII wa maigizo na filamu nchini na aliyekuwa Jaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia jana, Msiba upo Tabata, Dar.
Timu Nzima ya Tanzania Movie Talents (TMT) na Kampuni nzima ya Proin Promotions Limited inapenda kutoa pole kwa Rich na familia yake kwa kuondokewa na Mzazi wake. TMT na Proin Promotions inaunga nae katika Kipindi hiki...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Tido afiwa na mama yake mzazi
9 years ago
Bongo505 Oct
Sheria Ngowi afiwa na mama yake mzazi
10 years ago
Michuzi08 Apr
TANZIA: Mpiganaji Masoud Sanani afiwa na mama yake mzazi huko Pemba
Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Masoud Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377. Katibu Mkuu TASWA