Aston Villa wapata kocha mpya
Klabu ya Aston Villa imemteua mkufunzi wa zamani wa Lyon, Remi Garde kuwa kocha wao mpya, kuchukua nafasi ya Tim Sherwood aliyefutwa kazi. Mfaransa huyo atasaini mkataba wa miaka mitatu na nusu na mechi yake ya kwanza itakuwa ni tarehe 2/11 Jumatatu dhidi ya Tottenham. Kocha huyo mwenye miaka 49 anachukua timu hiyo ikiwa inashika […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Kocha mpya wa Aston Villa, Remi Garde aanza kwa kipigo kutoka kwa Tottenham
Kocha mpya wa Aston Villa, Mfaransa Remi Garde.
Na Rabi Hume
Kocha mpya wa Aston Villa, Mfaransa Remi Garde ameanza kwa kupokea kipigo katika mchezo wake wa kwanza akiwa kama meneja mpya wa klabu ya Aston Villa baada ya kupokea kipigo cha goli 3 kwa 1 kutoka kwa Totthenham Hotspur katika mchezo wa Ligu kuu ya nchini Wingereza uliochezwa katika uwanja wa White Hate Line.
Garde alipokea kipigo hicho akiwa jukwaani akiutazama mchezo huo ikiwa ni siku moja ya kwanza baada ya kupewa mkataba wa...
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Aston Villa yamtimua Kocha wake
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Aston Villa wamchukua kocha wa zamani wa Lyon
5 years ago
CCM Blog28 May
KOCHA WA ASTON VILLA AFIWA NA BABA YAKE
ByRama Mwelondo TZAonMay 28, 2020
![](https://millardayo.com/wp-content/uploads/2020/05/4C4CE9EF-9E32-4C8E-94BC-13D0BD7892BF-660x400.jpeg)
![](https://millardayo.com/wp-content/uploads/2020/05/4119F042-BF9D-4A8C-852E-84D63ECDCCFE-950x950.jpeg)
9 years ago
Bongo526 Oct
Klabu ya Aston Villa yamtimua kocha wao Tim Sherwood
5 years ago
Daily Mail05 Mar
Aston Villa given approval by Premier League to go ahead with sale of Villa Park
5 years ago
Daily Mail10 Mar
Leicester 4-0 Aston Villa: Foxes savage sorry Villa after Pepe Reina horror show
9 years ago
StarTV07 Nov
 Kocha mpya wa Aston Villa Asema hana miujiza ahitaji mshikamano.
Siku moja baada ya klabu ya Aston Villa ya England kumtambulisha kocha mpya Remi Garde kuchukua nafasi ya kocha Tim Sherwood aliyetimuliwa wiki mbili zilizopita, kocha huyo amesema kuwa hana miujiza na anachohitaji ni uvumilivu na mshikamano ndani ya timu.
Kocha Garde raia wa Ufaransa amebainisha kuwa ana kabiliwa na changamoto kubwa zaidi ya kuweka mambo sawa na itachukua muda kwa timu hiyo kurudi katika mstari kutokana na matokeo mabaya yanayowazunguka ikiwa na pointi 4 tu katika...
10 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/608C/production/_84761742_goalvilla.jpg)
Bournemouth 0-1 Aston Villa