Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki Mbeya City wamlilia kocha

Baadhi ya mashabiki wa Mbeya City walioko jijini Mbeya, wamesema moja ya sababu ya timu yao kushindwa kuonyesha cheche zake kama ilivyokuwa msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara ni pengo linaonekana baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha msaidizi, Maka Mwalwisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa City atoa hofu mashabiki

Licha ya kupoteza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema kuwa hajakatishwa tamaa na matokeo hayo na badala yake wataendelea na kasi yao ili wachukue ubingwa kwa mara ya kwanza.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha kuimarisha ushambuliaji Mbeya City

KOCHA wa Mbeya City, Abdul Mingange amesema atatumia mapumziko ya sasa kulifanyia kazi suala la umaliziaji katika kikosi hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha atoa siri za Mbeya City

Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi ametaja siri tatu za kikosi chake kuwa tishio kwenye msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Timu hiyo iliyopanda kwenye msimu huu wamefungwa mechi moja pekee na Yanga wakichapwa 1-0.

 

10 years ago

GPL

Mbeya City yamtimua kocha Simba

Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola. Martha Mboma na Sweetbert Lukonge
KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, ameomba kuondoka klabuni hapo ikiwa ni siku chache tangu timu hiyo ilipofungwa na Mbeya City mabao 2-1 katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Matola ambaye alianza kuifundisha timu hiyo msimu uliopita akisaidiana na aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo, Zdravko Logarusic, ameomba kuondoka baada ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Matokeo yamchanganya kocha Mbeya City

Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema wasihukumiwe kwa matokeo mabaya yanayotokea dimbani kwani yanamuumiza kila mtu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa Yanga aizimia Mbeya City

>Kocha wa Yanga, Mdachi Hans Van Der Pluijm ameshangazwa jinsi wachezaji wa Mbeya City walivyo fiti kwa asilimia 100 na kuahidi kuwapika wachezaji wake ili wafikie kiwango hicho.

 

9 years ago

Habarileo

Mwambusi atuliza mashabiki Mbeya City

KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuwa na moyo wa subira pale timu hiyo inapopata matokeo mabaya kwenye Ligi Kuu kwa kuwa bado ni mwanzo wa msimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mwambusi bado anaaminika Mbeya City

Uongozi wa Mbeya City umesema hauna wazo la kuachana na kocha wao mkuu, Juma Mwambusi licha ya kufanya vibaya kwenye mechi saba za mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Mbeya City aamini kitaeleweka kibao

KOCHA wa muda wa Mbeya City, Abdul Mingange, amesema kukosa wachezaji wenye uzoefu ndiyo sababu ya timu hiyo kufanya vibaya kwenye mechi zao za Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani