Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom wasogeza huduma kwa wakazi wa mji wa kihistoria wa Bagamoyo

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi wa kwanza kulia akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo barabara ya soko jipya Bagamoyo mjini mwishoni mwa wiki.Wengine katika picha katikati ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo Richard na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi wa pili toka kushoto akifungua mvinyo(shampeni) kuashiria uzinduzi wa duka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VODACOM WASOGEZA HUDUMA KWA WAKAZI WA MJI WA KIHISTORIA WA BAGAMOYO‏

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi (katikati) akiagana na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia (kulia) mara baada ya kuzindua duka jipya la kampuni hiyo lililopo barabara ya soko jipya Bagamoyo mjini mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard.… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vodacom wasogeza huduma Bagamoyo

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imezindua duka jipya katika mji wa Bagamoyo. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa duka hilo la kisasa  mwishoni mwa wiki, Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Uhusiano...

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO yawaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar na mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya maji

DAWASCO inaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya Maji kutoka katika mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini kwa wastani wa saa 72 kwa siku za Ijumaa hadi Jumatatu ya tarehe 28, 29  na 30 November 2014. 
Kukosekana kwa huduma hii kulitokana na kazi ya mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Mpiji, Bagamoyo na eneo la Chuo Kikuu Ardhi...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yasogeza huduma zake kwa wakazi wa Tegeta

Mmiliki wa duka jipya la Vodacom lililofunguliwa Tegeta katika jengo la Kibo Complex, Bw. Francis Nanai (katikati) pamoja na Meneja Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bi. Upendo Richard (kulia) kwa pamoja wakikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa duka hilo linakuwa ni la 78 kwa nchi nzima na la 16 kwa wilaya ya Kinondoni likiwa na huduma na bidhaa mbali mbali za Vodacom. Meneja Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bi. Upendo Richard (katikati) akipata maelekezo juu ya huduma...

 

9 years ago

Vijimambo

JK NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAUTEKA MJI WA MOROGORO KWA MKUTANO WA KIHISTORIA WA KAMPENI

 Rais Kikwete akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya...

 

10 years ago

CloudsFM

TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.

 

10 years ago

Mwananchi

Raha kwa wakazi wa Dar es Salaam, Bagamoyo

Usafiri wa majini una raha yake, hasa ikiwa chombo unachotumia ni imara na chenye usalama usiotiliwa shaka.

 

11 years ago

GPL

BAGAMOYO JIMBO LA KIHISTORIA LENYE WATU MASKINI

D.k Shukuru Kawambwa. Kilometa 75, Kaskazini mwa Jiji la Dar es Salaam, ndipo unapopatikana mji mkongwe na wa kihistoria wa Bagamoyo ambao ni miongoni mwa miji yenye vivutio vya kipekee duniani, ulioanzishwa karne ya 18, ukiwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi. Historia inaonesha kuwa Bagamoyo iliyopo Mkoa wa Pwani ndiyo kilikuwa kituo kikuu cha biashara ya watumwa na bandari ya kwanza katika mwambao wa Afrika Mashariki, achilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani