Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom wasogeza huduma Bagamoyo

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imezindua duka jipya katika mji wa Bagamoyo. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa duka hilo la kisasa  mwishoni mwa wiki, Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Uhusiano...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom wasogeza huduma kwa wakazi wa mji wa kihistoria wa Bagamoyo

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi wa kwanza kulia akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo barabara ya soko jipya Bagamoyo mjini mwishoni mwa wiki.Wengine katika picha katikati ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo Richard na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi wa pili toka kushoto akifungua mvinyo(shampeni) kuashiria uzinduzi wa duka...

 

10 years ago

GPL

VODACOM WASOGEZA HUDUMA KWA WAKAZI WA MJI WA KIHISTORIA WA BAGAMOYO‏

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi (katikati) akiagana na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia (kulia) mara baada ya kuzindua duka jipya la kampuni hiyo lililopo barabara ya soko jipya Bagamoyo mjini mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard.… ...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA

  Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji  wa mada Felix Mlaki  na Katikati ni Mtaalamu toka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)Moreme Marwa.  Mmoja wa...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA‏

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania ,Kelvin Twissa akitoa mada juu ya huduma zinazotolewa na kampuni yake wakati wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha na kupanua huduma za kifedha kwa biashara ndogo na za kati hapo jana. Warsha hiyo iliandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) na kudhaminiwa na Vodacom.Kushoto ni muongozaji  wa mada Felix Mlaki  na Katikati ni...

 

9 years ago

Michuzi

DAR ES SALAAM, BAGAMOYO KUKOSA HUDUMA YA MAJI KESHO

Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), linasikitika kuwatangazia  wakazi wa jiji la Dar-es-salaam na  Mji wa Bagamoyo kuwa Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa Saa 24 siku ya Jumapili, Tarehe 13/12/2015.
Mtambo wa Ruvu Chini utazimwa kutokana na matengenezo na Maboresho ya Njia kubwa ya Maji inayohudumia eneo la Salasala na viunga vyake vyote.
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini kutasababisha maeneo yafuatayo katika Jiji la Dar es salaam kukosa...

 

5 years ago

Michuzi

Huduma ya Intaneti Vodacom yarejea


Huduma ya intaneti ya Vodacom imerejea majira ya saa 2:30 usiku tarehe 23 Februari 2020. Tunasikitika kwa usumbufu wote uliyojitokeza. Tumedhamiria Kutoa huduma bora kwa wateja wote na kuzingatia viwango vya kimataifa. Wateja wote waliopatwa na madhara haya watapata fidia na walio nunua bando watarejeshewa kuanzia kesho.

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAJA NA HUDUMA YA VINJARI NA M-PESA

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Vinjari na M PESA itakayowawezesha wateja wa mtandao huo kufanya malipo ya huduma katika sekta ya usafiri wa anga,mahoteli na utalii kwa njia ya kieletroniki huduma hiyo inapatikana kupitia tovuti ya vinjari,Wengine katika picha maafisa waandamizi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom na mapinduzi ya huduma kwa wateja

MWISHONI mwa miaka ya 1990, Tanzania iliingia katika orodha ya nchi zinazotumia mawasiliano ya simu ya mkononi. Katika miaka hiyo, huduma ya simu za mkononi ilionekana ni ya wachache sana,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma

WATEJA wa Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi yao, ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani