Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Same wahama makazi

 

Baadhi wa wakazi wa vitongoji vya Jitengeni, Muungano na Mvungwe wilayani Same mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuyahama makazi yao na wengine kulala juu ya miti baada ya nyumba zao kuzingirwa na maji.

Mafuriko hayo yanadaiwa kusababishwa na kufunguliwa kwa maji katika Bwawa la Nyumba ya Mungu ambayo yameingia katika mto Ruvu hali iliyosababisha mto huo kujaa na maji hayo kusambaa katika makazi ya watu.

 

Katika hali hiyo  shida na taabu kubwa ambayo imewakumba wakazi wa vitongoji vya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi wahama kukimbia mafuriko

WAKAZI wa Kijiji cha Gama, Kata ya Magomeni, wilayani Bagamoyo, wamelazimika kuyakimbia makazi yao baada ya Daraja la Gama kubomoka kutokana na mafuriko, hali iliyosababisha kukosekana kwa mawasiliano baina ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Wakazi 3,000 Arumeru kubomolewa makazi

Zaidi ya wakazi 3,000 wa Kata ya Kiranyi Wilaya ya Arumeru mkoani hapa, wameamriwa na Mamlaka ya Bonde la Pangani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji ya Mji Mdogo wa Ngaramtoni kubomoa nyumba zao kwa kujenga kwenye chanzo cha maji.

 

10 years ago

Habarileo

Wahama Chadema, CUF kumkimbia Lowassa

WANACHAMA 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama cha Wananchi(CUF) kutoka matawi ya Ubungo na Kilimani, wamerudisha kadi zao katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kile walichodai kuwa kitendo cha viongozi hao kumpokea Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ni kuvunja katiba na kukidhalilisha chama.

 

9 years ago

Vijimambo

UPDATES: WAFUASI WA DR.SLAA WA SHINYANGA MJINI WAHAMA CHADEMA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida vijana wengi wafuasi wa CHADEMA wa Shinyanga mjini wamechana kadi, bendera na flana za chama hicho kwa madai kimepoteza misingi yake na mwelekeo kwa kuwapokea mafisadi Lowassa na kundi lake.


Wakiwa na hasira baada ya kuisikiliza kwa kina hotuba ya Dr Slaa jana vijana hao wameandamana na kukusanyika katika ofisi za chama hicho wakimshutumu vikali mwenyekiti wao Taifa Freeman Mbowe kwa kukiuza chama kwa Fisadi lowasa na kusababisha kuwaengua viongozi wa juu wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Makazi duni Nigeria: Makazi duni Lagos yako juu ya maji

Mamilioni ya raia wa Nigeria wanaishi katika maisha duni kupita kiasi.

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA

Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku huu kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ney Wa Mitego (pichani kulia) na Stamina wakilishambulia jukwaa kwa wimbo wao wa Huko Kwenu vipi,huku makele ya shangwe yakiwa yametawala kila kona ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga usiku huu.Sehemu ya mashabiki wa Fiesta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani