UPDATES: WAFUASI WA DR.SLAA WA SHINYANGA MJINI WAHAMA CHADEMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-jPoYqsYrYKg/Vef2xYmh4zI/AAAAAAABUxw/MPa4FL3PTR8/s72-c/8.jpg)
Katika hali isiyokuwa ya kawaida vijana wengi wafuasi wa CHADEMA wa Shinyanga mjini wamechana kadi, bendera na flana za chama hicho kwa madai kimepoteza misingi yake na mwelekeo kwa kuwapokea mafisadi Lowassa na kundi lake.
Wakiwa na hasira baada ya kuisikiliza kwa kina hotuba ya Dr Slaa jana vijana hao wameandamana na kukusanyika katika ofisi za chama hicho wakimshutumu vikali mwenyekiti wao Taifa Freeman Mbowe kwa kukiuza chama kwa Fisadi lowasa na kusababisha kuwaengua viongozi wa juu wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboUPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Chanzo:...
9 years ago
VijimamboWATU 9 WAJERUHIWA KATIKA VURUGU KATI YA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA MBEYA MJINI NA WAFUASI WA CCM
10 years ago
Habarileo01 Aug
Wahama Chadema, CUF kumkimbia Lowassa
WANACHAMA 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama cha Wananchi(CUF) kutoka matawi ya Ubungo na Kilimani, wamerudisha kadi zao katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kile walichodai kuwa kitendo cha viongozi hao kumpokea Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ni kuvunja katiba na kukidhalilisha chama.
9 years ago
Habarileo18 Sep
Wafuasi wa Chadema mbaroni
WATU wawili wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Goodluck Hamandi (26), mkazi wa Mtoni na Fulgence Shayo (18) mkazi wa Mazimbu katika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kufanya fujo.
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Wafuasi Chadema wapunguziwa mashtaka
10 years ago
Habarileo25 Sep
Wafuasi wa Chadema wapata dhamana
WAFUASI watatu wa Chadema wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kuingia katika Makao Makuu ya Jeshi hilo kinyume cha sheria, wamepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z0OezKvypDo/XvHtBrfRkzI/AAAAAAALvEI/Pc3WmTSdo4IqLwLaHwSIEidbVUES4bYfgCLcBGAsYHQ/s72-c/MAHAKAMA%2B2018.jpg)
VIONGOZI NA WAFUASI 27 WA CHADEMA KUKAMATWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-z0OezKvypDo/XvHtBrfRkzI/AAAAAAALvEI/Pc3WmTSdo4IqLwLaHwSIEidbVUES4bYfgCLcBGAsYHQ/s640/MAHAKAMA%2B2018.jpg)
Katika kesi hiyo, viongozi na wafuasi 27 wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kukaidi amri halali na kuharibu geti la gereza la Segerea.
Washitakiwa hao ambao hawajafika na kuamriwa kukamatwa ni Edga Adelin, Gerva Yenda, Regnald Masawe, Cesilia Michaeli na...
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Wafuasi wa Chadema kizimbani Dar
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Wafuasi Chadema, CCM wachapana makonde