Tahadhari Ya Mvua Dar  Nyumba zilizo sehemu hatarishi zaanza kubomolewa
Serikali imeanza kuchukua tahadhari ya mvua zilizoanza kunyesha mwezi huu kwa kubomoa nyumba na kuwaondoa watu wote wanaoishi mabondeni ili kuepusha maafa yanayoweza kujitokeza.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na baraza la usimamizi na uhifadhi wa mazingira NEMC wameanza kubomoa nyumba zote zilizoko katika sehemu hatarishi na zisizoruhusiwa kwa makazi ya watu.
Sehemu mojawapo katika bonde la Msimbazi eneo ambalo husababisha maafa pindi mvua zinapoanza...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Nyumba 5,000 kubomolewa Dar es salaam
Ruth Mnkeni na Elizabeth Nyambele, Dar es Salaam
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepanga kubomoa nyumba zaidi ya 5,000 za wakazi wa Jiji wa Dar es Salaam zilizojengwa kinyume na utaratibu na zilizo katika maeneo hatarishi.
Mpango wa kubomoa nyumba hizo ulitangazwa jana na mwanasheria wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Manchare Suguta, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Bonge la Mkwajuni ambako jana shughuli ya ubomoaji ilikuwa...
10 years ago
MichuziWATOTO WAKICHEZA SEHEMU HATARISHI
11 years ago
Habarileo26 Jun
Nyumba 700 kubomolewa Arusha
ZAIDI ya nyumba 700 zilizopo kando ya barabara ya Arusha-Moshi, zitabomolewa kupisha ujenzi wa barabara ya kutoka Arusha hadi mpaka wa Holili, kwa upande wa Tanzania na Taveta hadi Voi nchini Kenya.
11 years ago
GPLMVUA ZAANZA KUWAPA HOFU WAKAZI WA JIJI
9 years ago
VijimamboMVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DMV ZAANZA KULETA MADHARA
10 years ago
Michuzi11 Jan
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
TMA yatoa tahadhari msimu wa mvua
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari juu ya mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa iliyopo na athari zake kwa msimu ujao wa mvua za masika, ambao...
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Tahadhari, mvua za maafa zaja Oktoba