Tahadhari, mvua za maafa zaja Oktoba
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza kunyesha Oktoba mwaka huu, hasa ukanda wa Pwani na nyanda za juu Kaskazini Mashariki.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-q2-AZbz-53U/VPgpBYCNR-I/AAAAAAAAB3w/1LUdbC4j4HI/s72-c/barafu.jpg)
Mvua ya maafa KAHAMA
Nyumba zaharibiwa, JK atuma rambirambi Watu 40 wapoteza maisha, 85 wajeruhiwa
Hali ya hewa yasema zitanyesha zaidi
Na waandishi wetu, Dar na KahamaWAKATI Watanzania wakiomboleza kifo cha mwanasiasa mahiri, Kapteni mstaafu John Komba, taifa limeingia tena kwenye huzuni na simanzi kutokana na watu 40 kupoteza maisha. Pia, watu wengine 82 wamejeruhiwa vibaya na wengine hali zao ni mbaya huku nyumba, mifugo na mazao, vikiharibiwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kutikisa...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Mvua yaleta maafa
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Mvua yaleta maafa Angola
11 years ago
Habarileo20 Feb
Mvua yasababisha maafa Kilwa
WAKAZI wa Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, wanakabiliwa na maafa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa kusababisha mashamba, nyumba za makazi na majengo ya shule za msingi na sekondari, kuharibiwa Diwani wa Kata ya Mandawa Hassani Nalinga, amesema hayo jana kwenye kikao cha Baraza la Madiwani akichangia hoja kutoka kwenye Kamati ya Jamii, Maendeleo na Mazingira.
10 years ago
Habarileo10 Mar
Waliokufa maafa ya mvua wafikia 47
IDADI ya watu waliofariki kutokana na mvua kubwa ya mawe, iliyopewa jina la tonado, sasa imefikia watu 47 baada ya majeruhi mwingine aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama kufariki dunia juzi.
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Mvua yaleta maafa Lugoba
MVUA iliyoambata na upepo mkali iliyonyesha hivi karibuni imeezua nyumba zaidi ya 150, huku kati ya hizo kuta zake zikiwa zimeanguka na kuwafanya wahanga wa tukio hilo kutafuta msaada wa...
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Mvua yaleta maafa Msumbiji
10 years ago
CloudsFM03 Dec
MVUA ILIVYOLETA MAAFA JIJINI MWANZA
Hali halisi ilivyoonekana siku ya jana katika eneo la Mabatini jijini Mwanza mara baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko makubwa kwa baadadhi ya maeneo na viunga vya jiji. Hii ni barabara kuu inayounga mkoa wa Mwanza na Mara.
Source: G SENGO
9 years ago
Habarileo03 Nov
Mvua zaleta maafa Mwanza, Sumbawanga
MVUA kubwa imenyesha katika mikoa ya Rukwa na Mwanza, na kusababisha maafa, ikiwemo vifo vya watu wawili na familia kadhaa kukosa makazi kutokana na nyumba kubomoka.