WATOTO WAKICHEZA SEHEMU HATARISHI
Watoto wakiwa katika moja ya michezo wakiwa na hatari ya katatwa na vitu vyenye nnja kali kwakuwa wanatembea bila kuvaa viatu.
Watoto wakijaribu kuruka ukuta bila mafanikio.
Hali si shwari kwa watoto hawa ambao walikua wakitaka kujaribu kuruka ukuta na kutokufanikisha lengo lao.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV18 Dec
Tahadhari Ya Mvua Dar  Nyumba zilizo sehemu hatarishi zaanza kubomolewa
Serikali imeanza kuchukua tahadhari ya mvua zilizoanza kunyesha mwezi huu kwa kubomoa nyumba na kuwaondoa watu wote wanaoishi mabondeni ili kuepusha maafa yanayoweza kujitokeza.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na baraza la usimamizi na uhifadhi wa mazingira NEMC wameanza kubomoa nyumba zote zilizoko katika sehemu hatarishi na zisizoruhusiwa kwa makazi ya watu.
Sehemu mojawapo katika bonde la Msimbazi eneo ambalo husababisha maafa pindi mvua zinapoanza...
10 years ago
VijimamboKONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI
10 years ago
Habarileo19 Feb
'Watoto bado wanakabiliwa na mazingira hatarishi’
TANZANIA bado inakabiliwa na tatizo la watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi ambapo kwa takwimu za hivi karibuni watoto waliotambuliwa kuishi katika mazingira hayo ni 897,913, wanaume wakiwa asilimia 53 na wasichana asilimia 47.
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Watoto wanaoishi mazingira hatarishi wapewa ujuzi
HALMASHAURI zote nchini, zimetakiwa kuona umuhimu wa kutenga fedha katika bajeti zao ili kuweza kusomesha watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, pia wale ambao hawana malezi maalumu. Ushauri huo umetolewa juzi...
10 years ago
GPLWIZARA YAENDESHA KONGAMANO LA WATOTO WA MAZINGIRA HATARISHI
5 years ago
MichuziWADAU WASAIDIE WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI
Brig. Jen. Mwangela ameyasema hayo wakati akishiriki uzinduzi wa Mradi mpya wa taasisi ya Save The Children ambapo mradi huo mpya utajikita katika kuongeza ushiriki wa wananchi katika michakato ya kisera na Kibajeti.
Amesema taasisi hiyo imekuwa ikisaidia watoto wanaoishi katika mazingira...
10 years ago
GPLKONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI KUFANYIKA FEBRUARY 2, 2015
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xMwNWWaa9t0/XpGs6RGOTNI/AAAAAAALmyU/4PNGXXBdz6ozfdgI8mX2LAe0DXCjjnSWgCLcBGAsYHQ/s72-c/bizo.jpg)
UGONJWA WA MATUNDU KWENYE MOYO NI MIONGONI MWA MAGONJWA HATARISHI KWA WATOTO WACHANGA
NA PATRICIA KIMELEMETA
UGONJWA wa matundu kwenye moyo kwa watoto wachanga ni miongoni mwa magonjwa hatarishi ambayo yanaweza kusababisha udumavu au wakati mwingine kifo Kwa mtoto.
Ugonjwa huo ambao unaathiri kuta za ventrikali za moyo au kwa kitaalamu ujulikana kama (Ventricular Septal Defect) (VSD) unashambulia moyo wa mtoto jambo ambalo linaweza kumuongezea maradhi mengine.
Mtoto mwenye matatizo hayo,anaweza kubainika mara baada ya kufanyiwa vipimo ambapo kwa sasa hali inaonyesha kuwa,...