Nyumba 700 kubomolewa Arusha
ZAIDI ya nyumba 700 zilizopo kando ya barabara ya Arusha-Moshi, zitabomolewa kupisha ujenzi wa barabara ya kutoka Arusha hadi mpaka wa Holili, kwa upande wa Tanzania na Taveta hadi Voi nchini Kenya.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Nyumba 5,000 kubomolewa Dar es salaam
Ruth Mnkeni na Elizabeth Nyambele, Dar es Salaam
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepanga kubomoa nyumba zaidi ya 5,000 za wakazi wa Jiji wa Dar es Salaam zilizojengwa kinyume na utaratibu na zilizo katika maeneo hatarishi.
Mpango wa kubomoa nyumba hizo ulitangazwa jana na mwanasheria wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Manchare Suguta, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Bonge la Mkwajuni ambako jana shughuli ya ubomoaji ilikuwa...
9 years ago
StarTV18 Dec
Tahadhari Ya Mvua Dar  Nyumba zilizo sehemu hatarishi zaanza kubomolewa
Serikali imeanza kuchukua tahadhari ya mvua zilizoanza kunyesha mwezi huu kwa kubomoa nyumba na kuwaondoa watu wote wanaoishi mabondeni ili kuepusha maafa yanayoweza kujitokeza.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na baraza la usimamizi na uhifadhi wa mazingira NEMC wameanza kubomoa nyumba zote zilizoko katika sehemu hatarishi na zisizoruhusiwa kwa makazi ya watu.
Sehemu mojawapo katika bonde la Msimbazi eneo ambalo husababisha maafa pindi mvua zinapoanza...
11 years ago
Tanzania Daima02 Sep
700 kushiriki maonyesho ya madini Arusha
WAFANYABIASHARA zaidi ya 700 kutoka nchi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki maonyesho ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara ya Arusha (AGF), yatakayofanyika kuanzia Novemba 18 hadi 20 jijini hapa. Mwenyekiti...
10 years ago
Mwananchi12 Jan
NHC Arusha kujenga nyumba 4,500
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mafuriko yaua Arusha, yateketeza nyumba
11 years ago
Michuzi
AICC YAZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA KUPANGISHA JIJINI ARUSHA



10 years ago
Dewji Blog07 May
Bodi ya NHC yatembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa nyumba jijini Arusha
.png)
Ujumbe wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC ukiwa eneo linalomilikiwa na NHC ambalo ujenzi wa Mji wa kisasa umeanza wakionyeshwa na Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha Bw. James Kisarika chemchemu za maji yanayotiririka walipotembelea eneo hilo lenye hali ya hewa ya aina yake Jijini Arusha jana.
.png)
Usa River ni Arusha Tanzania ambapo NHC Shirika lenye dhamana ya kujenga nyumba bora hapa nchini limeanza kupanga mji huo wenye mandhari na hali ya hewa ya kuvutia. Hapa wajumbe wa Bodi ya NHC na...
10 years ago
Vijimambo
WAZIRI WA ARDHI ,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WILLIAM LUKUVI AANZA ZIARA MKOANI ARUSHA



11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Walia kubomolewa vibanda usiku
WAFANYABIASHARA wa eneo la Sabasaba katika mji wa Tarime, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha kikatili kilichofanywa na mkurugenzi wa halmashauri ya mji huo cha kubomoa vibanda vyao usiku bila kuwataarifu....