Waliovamia maeneo kufanyiwa tathmini
Katika kupambana na janga la mafuriko ya mvua yanayolikumba Jiji la Dar es Salaam mara kwa mara, Mkuu wa Mkoa huo, Saidi Meck Sadiki ameziagiza halmashauri za jiji hilo kuorodhesha watu waliovamia maeneo ya mikondo ya maji ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-KRjKHmERqpU/VZqTKj1dMSI/AAAAAAAHnUk/pg6ndeyG-AA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-07-06%2Bat%2B5.36.52%2BPM.png)
9 years ago
Habarileo19 Aug
‘Waliovamia njia za DART waondoke’
WAFANYABIASHARA na watu wengine wanaotumia njia za mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) kwa shughuli zao wameamriwa kuondoka mara moja kwenye maeneo hayo.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Waliovamia vituo vya BRT waonywa
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik, amewataka watu wanaoishi mabondeni, waliokimbia mafuriko na kuvamia vituo vya mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT), kama sehemu ya makazi...
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Polisi: Waliovamia Amboni, Tanga ni wahuni
Na Amina Omari na Oscar Assenga, TANGA
KAIMU Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki, amesema watu waliopambana na askari polisi na wale wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) ni kikundi cha wahuni.
Harakati za mapambano baina ya polisi na wahalifu hao zilidumu kwa takribani saa 48, huku Mkuu wa Mkoa huo, Said Magalula akikiri kwamba wameshindwa kuwakamata watu hao.
Jana Ndaki aliwaambia waandishi wa habari kuwa, jeshi hilo linawashikilia watu kadhaa kutokana na tukio la majambazi kushambiliana na...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-KRjKHmERqpU/VZqTKj1dMSI/AAAAAAAHnUk/pg6ndeyG-AA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-07-06%2Bat%2B5.36.52%2BPM.png)
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Serikali yaamuru waliovamia shamba la Sumaye waondoke
9 years ago
MichuziWALIOVAMIA SOKO LA TANDALE KUBOMOLEWA MAJENGO YAO
Serikali imewataka wananchi waliojenga nyumba zao ndani ya soko la Tandale ambalo lipo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam kuzibomoa na kuacha mipaka yote ya soko hilo wazi, na imewapa siku saba kufanya hivyo kabla ya majengo hayo kubomolewa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa George Simbachawene ameyasema hayo tarehe 22 Desemba wakati alipofanya ziara yake katika Manispaa tatu za jiji la Dar es salaam kwa ajili ya kujionea hali ya usafi...
10 years ago
MichuziWAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Deni la MSD, waliovamia shamba la SUMAYE, Bomoabomoa, mafuriko…‪#‎MAGAZETINI
MWANANCHI Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki amewataka waliovamia na kujigawia maeneo ya watu wengine likiwamo la Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Ritha Mlaki waondoke mara moja kwa kuwa wamevunja sheria. Alisema zaidi ya watu 2,000 wakiwamo waliobomolewa nyumba katika baadhi ya maeneo jijini […]
The post Deni la MSD, waliovamia shamba la SUMAYE, Bomoabomoa, mafuriko…#MAGAZETINI appeared first on...