Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Tumieni mifugo kuondoa umasikini’

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa akijibu swali bungeni.WAJASIRIAMALI Kanda ya Ziwa wametakiwa kutumia wataalamu wa halmashauri na fursa ya kuwepo mifugo na mazao ya kilimo kwa wingi katika mikoa yao kusindika, kuuza na kuondokana na tatizo la umasikini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Nimeiachia Tanesco miradi ya kuondoa umasikini-Muhongo

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema pamoja na kujiuzulu, ameiachia Shirika la Umeme (Tanesco), miradi ya kuongeza uzalishaji umeme, ambao ni muhimu katika kuifanya nchi kuwa ya kipato cha kati miaka kumi ijayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Umasikini wa wafugaji ni kuthamini idadi ya mifugo kuliko fedha, mali

Inashangaza kuona kuwa Tanzania ni nchi ya tatu barani Afrika kwa wingi wa mifugo ya asili, lakini wafugaji wengi wanaishi maisha duni. Serikali imeshindwa pia kupata kikamilifu matunda ya kuwapo kwa rasilimali hii.

 

9 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dunia walivyokusudia kuondoa umasikini miaka 15 ijayo

Jamii ulimwenguni zimegawanyika katika makundi matatu; za mataifa tajiri yenye uchumi wa juu, mataifa ya uchumi wa kati na kundi la tatu ni la mataifa maskini. Jamii maskini ni ile ambayo wananchi wake wengi wanaishi kwa wastani wa pato la Dola moja ya Marekani, kwa siku, sawa na Sh2,100.

 

10 years ago

Michuzi

WAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji katika Kata ya Olosokwani, Loliondo wilayani Ngorongoro, juzi. Mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) ambayo imewekeza wilayani humo. Uzinduzi huo pia ulihudhuriwa na Balozi wa UAE nchini Tanzania, Mbarouk Nassor Mbarouk.
 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akijindaa kumtwisha ndoo ya maji mkazi wa Kata ya Olosokwani, ambako alizindua mradi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tumieni NSSF kujikwamua’

WATANZANIA wametakiwa kutumia fursa zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na kujipatia akiba, mafao na mikopo sawa na watu walioajiriwa. Rai...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wananchi tumieni huduma za kifedha’

WATANZANIA wameshauriwa kupata huduma za kifedha kwa kuwa ni njia salama ya kuhifadhi fedha zao kwa maendeleo yao ya baadaye. Wito huo ulitolewa jijini Dar es Salaam jana na Meneja...

 

10 years ago

Habarileo

‘Tumieni tehama kwa maendeleo’

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame MbarawaVIJANA nchini wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao binafsi na ya nchi.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tumieni mikopo kwa malengo’

Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa kutumia mikopo kwa malengo sahihi na kuirudisha kwa wakati ili kutoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kukuza mitaji yao kupitia benki.

 

11 years ago

GPL

TUMIENI MFUMO ENDELEVU WA BIASHARA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB Tanzania Moezz Mir,akiongea na wateja wa benki hiyo wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa mahususi kwa wateja wao hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani