Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa dunia walivyokusudia kuondoa umasikini miaka 15 ijayo

Jamii ulimwenguni zimegawanyika katika makundi matatu; za mataifa tajiri yenye uchumi wa juu, mataifa ya uchumi wa kati na kundi la tatu ni la mataifa maskini. Jamii maskini ni ile ambayo wananchi wake wengi wanaishi kwa wastani wa pato la Dola moja ya Marekani, kwa siku, sawa na Sh2,100.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Tumieni mifugo kuondoa umasikini’

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa akijibu swali bungeni.WAJASIRIAMALI Kanda ya Ziwa wametakiwa kutumia wataalamu wa halmashauri na fursa ya kuwepo mifugo na mazao ya kilimo kwa wingi katika mikoa yao kusindika, kuuza na kuondokana na tatizo la umasikini.

 

10 years ago

Habarileo

Nimeiachia Tanesco miradi ya kuondoa umasikini-Muhongo

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema pamoja na kujiuzulu, ameiachia Shirika la Umeme (Tanesco), miradi ya kuongeza uzalishaji umeme, ambao ni muhimu katika kuifanya nchi kuwa ya kipato cha kati miaka kumi ijayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 52 ya uhuru, tunaimba umasikini

p>KESHO, Desemba 9, ni maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara). Wakati tunatimiza miaka hiyo ya uhuru, zimekuwepo tafsiri tofauti kwa baadhi ya Watanzania, na hata mimi...

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi acheni kuuza utajiri na kununua umasikini - Mh. Lowassa

 Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa amewanyooshea vidole viongozi wa kimila wa kabila la wamasai (malaigwanani),viongozi wa vijiji na wale wa CCM wilayani humo, kuwa wanalaumiwa kwa kushiriki katika uuzaji ardhi kinyume na sheria.
 Akifungua semina ya siku mbili ya juu ya maswala ya ardhi kwenye ukumbi wa hoteli ya Emanyata mjini Monduli,Mh. Lowassa amesema  shutuma hizo zimekuwa nyingi kwa viongozi hao kwa kuuza utajiri (ardhi) na kununua umasikini.
"Walikuja pale...

 

11 years ago

Habarileo

Buzwagi kufungwa miaka 2 ijayo?

MGODI wa dhahabu wa Buzwagi uliopo Kahama mkoani Shinyanga, huenda ukafungwa ndani ya miaka miwili ijayo ili kuiepushia hasara kampuni inayochimba dhababu katika eneo hilo, African Barrick Gold.

 

11 years ago

Mwananchi

Pengo: Nastaafu miaka mitano ijayo

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Polycarp Pengo amesema waumini wa kanisa hilo hawana sababu ya kuingiwa wasiwasi kuhusu hali yake kiafya kwa kuwa anastaafu miaka mitano ijayo.

 

10 years ago

GPL

MKUMBO UTAKAVYOWAGHARIMU VIJANA MIAKA 5 IJAYO

Katika michakato yote ya chaguzi zilizopita, mchakato wa uchaguzi wa mwaka huu, unatajwa kuwa wa kipekee zaidi kutokana na kuwepo kwa mwamko mkubwa wa watu wengi wa kada mbalimbali huku vijana wakiwa kundi kubwa la watu waliojitokeza kuliko makundi yote. Ndani ya kundi hilo la vijana wapo wafanyakazi wa serikali na wenye ajira binafsi kama vile waendesha bodaboda, wafanyakazi wa viwandani, wafanyabiashara, wakulima na wachimba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani