Umasikini wa wafugaji ni kuthamini idadi ya mifugo kuliko fedha, mali
Inashangaza kuona kuwa Tanzania ni nchi ya tatu barani Afrika kwa wingi wa mifugo ya asili, lakini wafugaji wengi wanaishi maisha duni. Serikali imeshindwa pia kupata kikamilifu matunda ya kuwapo kwa rasilimali hii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Jun
‘Tumieni mifugo kuondoa umasikini’
WAJASIRIAMALI Kanda ya Ziwa wametakiwa kutumia wataalamu wa halmashauri na fursa ya kuwepo mifugo na mazao ya kilimo kwa wingi katika mikoa yao kusindika, kuuza na kuondokana na tatizo la umasikini.
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Wafugaji wapinga Sheria ya Mifugo
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Wafugaji, wauza dawa za mifugo wafundwa
ZAIDI ya wafugaji 300 na wafanyabiashara wa maduka ya dawa za kilimo na mifugo, wamepatiwa mafunzo ya utumiaji dawa za kutibu mifugo ya aina mbalimbali na virutubisho vinavyotolewa na Kampuni...
9 years ago
Habarileo19 Sep
Wafugaji wazuiwa kuingiza mifugo Selous
JAMII ya wafugaji waliopo katika kijiji cha Chengena, kata ya Luchili, wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma wametakiwa kuacha kuingiza mifugo yao na kufanya shughuli nyingine za kibinadamu katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Hifadhi ya Taifa ya Selous kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Wafugaji watakiwa kuzalisha mifugo bora
SERIKALI imewataka wafugaji kuzalisha mifugo bora na kuivuna kwa wakati, ili kukidhi mahitaji ya viwanda vya kusindika nyama vilivyopo. Wito huo ulitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Mendeleo ya...
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Wafugaji mkoani Mara wageuka kuwa madaktari wa mifugo
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pGq72_lBLn8/VgiHEYIm_uI/AAAAAAAH7fs/qJPjQUpIFV0/s72-c/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
WAFUGAJI CHALINZE SOMESHENI WATOTO, WASICHUNGE MIFUGO - RIDHIWANI
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Wafugaji wazuiwa kuogesha mifugo yao Mto Malagarasi
10 years ago
MichuziWAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO