Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji Loliondo waondolewa hofu

SERIKALI imewatoa hofu jamii ya wafugaji wa kimasai waishio Tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro juu kuwepo kwa taarifa za kuwaondoa katika eneo wanaloishi na kuligawa kwa mwekezaji kutoka Falme za...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Kigamboni waondolewa hofu

WIZARA ya Ujenzi imewatoa hofu wananchi wanaotumia vivuko vya Magogoni na Kigamboni kuwa hitilafu iliyotokea juzi ya kukatika kwa mlango wa kivuko ni ya kiufundi. Akizungumza na Tanzania Daima, Ofisa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waislamu nchini waondolewa hofu

JAMII ya Kiislamu nchini imetolewa hofu ya upatikanaji wa mikopo kutokana na kuanzishiwa benki pamoja na vicoba vitakavyowawezesha kupata fursa hiyo bila kikwazo cha riba. Akizungumza katika kongamano la masheikh...

 

9 years ago

Bongo5

Wateja wa Mall mpya ya Nairobi waondolewa kwa hofu ya shambulio la kigaidi

Wateja waliokuwa ndani ya mall mpya na kubwa iliyopo jijini Nairobi Kenya waliondolewa jana baada ya mtu aliyehisiwa kuwa na bomu la kutengeneza kuonwa na walinzi. Polisi walidai kuwa watu watatu walikamatwa kufuatia tukio hilo kwenye Garden City Mall iliyojengwa kwa dola milioni 250. Mall za Kenya zimekuwa kwenye ulinzi wa hali ya juu tangu […]

 

10 years ago

Michuzi

WAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji katika Kata ya Olosokwani, Loliondo wilayani Ngorongoro, juzi. Mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) ambayo imewekeza wilayani humo. Uzinduzi huo pia ulihudhuriwa na Balozi wa UAE nchini Tanzania, Mbarouk Nassor Mbarouk.
 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akijindaa kumtwisha ndoo ya maji mkazi wa Kata ya Olosokwani, ambako alizindua mradi...

 

10 years ago

Vijimambo

Sakata la ardhi Loliondo: Wafugaji sasa watishia kuinyima kura CCM

Mwenyekiti wa Halmashauri ya CCM Wilaya ya Ngorongo, Mkoa wa Arusha, pamoja na madiwani wake wamesema wamechoka kwa vitendo vya usumbufu, unyanyasaji na kuishi maisha yasiyoeleweka kufuatia hatua ya Waziri wa Maliasili na Utalii kutaka kutwaa ardhi yao.

Wamesema malengo hayo ya waziri yakitekelezwa wapo tayari kurudisha kadi zote za CCM na kuwaeleza wananchi wao katu wasiwapigie kura wagombea wote wa chama hicho.

Walisema serikali kupitia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,...

 

10 years ago

Dewji Blog

THRDC watoa tamko kwa umma juu ya hali ya watetezi wa haki za wafugaji Loliondo

DSC_0794

Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu THRDC Taifa, Bw. Onesmo Olengurumwa, akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa tamko la kulaani vikali kutishwa kwa watetezi wa haki za wafugaji walioko Loliondo jijini Dar es Salaam.

DSC_0827

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo uliofanyika kwenye ofisi za kituo hicho jijini Dar es Salaam.

tamko loliondo chragg kiswahili.doc by moblog

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chama cha wafugaji na hofu ya kusalitiwa

“KWENYE msafara wa mamba na kenge wamo.” Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji Taifa (CCWT), Ally Lumiye, anayoitoa katika mkutano uliofanyika Kijiji cha Kilangawana wilayani Sumbawanga mkoani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani