Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EAC yatakiwa kuondoa vikwazo vya ajira

Serikali za nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zimeshauriwa kuondoa vikwazo vya ajira kwa walimu wa masomo ya Kiingereza, Kifaransa na Kiswahili ili kusaidia kukuza sekta ya elimu kwa nchi wanachama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania bado haijaridhia kuondoa vikwazo vya ajira’

KATIBU wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), Nicholaus Mgaya, amesema Tanzania bado haijaridhia kuondoa vikwazo vyote vya ajira kutokana na kutokamilika uhakiki wa wafanyakazi wote na mahitaji yaliyopo....

 

11 years ago

Mwananchi

EAC watakiwa kuondoa vikwazo vipya

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Richard Sezibera amezitaka nchi wanachama kuondoa vikwazo vipya vya biashara kwenye mitaji, bidhaa na huduma vilivyoanzishwa baada ya kuanza utekelezaji wa soko la pamoja miongoni mwa nchi wanachama.

 

10 years ago

Mwananchi

Sadc watakiwa kuondoa vikwazo vya kibiashara

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo (Sadc) zimetakiwa kuondolewa kanuni na vikwazo vinavyokwamisha biashara baina ya nchi hizo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maduro aitaka Marekani kuondoa vikwazo

Rais Nicholas Maduro wa Venezuela anampelekea barua rais Obama kumtaka awaondolee vikwazo maafisa wa nchi yake.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yatakiwa kuondoa vitendo vinavyochochea Ukatili Wa Watoto

Wanaharakati wanaopinga ukatili wa Kijinsia na kutetea haki za Watoto nchini, wameitaka serikali kuondoa vitendo vinavyochochea ukatili kwa watoto  ili  wasiathirike katika maisha yao.

Aidha wameishauri Serikali kuangalia vitendo hivyo visije kuvunja na kuathiri malezi bora ya vizazi vijavyo kwakutengeneza  jamii yenye mmomonyoko wa maadili katika sekta za maendeleo.

Tanzania, Maadhimisho ya siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia yamelenga zaidi suala la usalama  shuleni kwa lengo la...

 

9 years ago

StarTV

Mgufuli ahidi kuboresha uchumi wa nchi kwa kuondoa vikwazo Tanzania na Kenya

Mgombea Uraisi kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Pombe Magufuli amesema atakapoingia madarakani atahakikisha  anasimamia fursa zilizopo za kibiashara baina ya nchi jirani ya Kenya kwa kuondoa vikwazo kwa lengo la kuimarisha uchumi wa nchi hizo mbili.

Kenya ni moja ya nchi ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi,hivyo kufunguliwa kwa fursa za kibiashara kutasaidia kukuza uchumi wa nchi zote mbili.

Kadri siku zinavyojongea kufanyika kwa uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu,vyama...

 

5 years ago

Michuzi

Kampuni ya Green Miles yatakiwa kuondoa vifaa vyake Kitalu cha Lake Natron.

 Mwandishi wetu,Longido
Mamlaka ya usimamizi wanyamapori nchini(TAWA) imetaka Kampuni ya Green Miles iliyoondolewa katika kitalu cha uwindaji cha Lake Natron (East),kuondoa vifaa vyake.
Kampuni hiyo iliondolewa na Serikali tangu, January 22 lakini hadi Jana watendaji wa Kampuni hiyo walikuwa hawajajitokeza  kuondoa vifaa vyao kwenye kambi inayolindwa na Askari wa TAWA,polisi na askari mgambo .
Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Hamis Kigwangalla  Agost 7 mwaka jana alitangaza uamuzi wa Serikali...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI YA MAWASILINANO YA SIMU YATAKIWA KUBORESHA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAO ILI KUONDOA MALALAMIKO

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akifungua semina ya kuwaelimisha na kuwahamasisha watumiaji wa Huduma za Mawasiliano iliyoandaliwa na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA-CCC) katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya Desemba 15 -2015. Wananchi na baadhi ya watumishi wa serikali na mashirika binafsi wakisikiliza kwa Makini Hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Abbas Kandoro katika semina ya kuwaelimisha na kuwahamasisha watumiaji wa huduma za Mawasiliano Mkoa wa Mbeya Desemba 15...

 

10 years ago

Michuzi

Restless Development yatoa mbinu kwa vijana Kilimanjaro kukabiliana na vikwazo katika soko la ajira

Wanafunzi wa chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management wakiwasikiliza walimu wa kujitolea kutoka Restless Development(walioko mbele yao) kuhusu maarifa ya kupata kazi  
 Wanafunzi wa chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management wakifundishwa na walimu wa kujitolea kutoka Restless Development Gemma Bunn (wa kwanza kushoto )na Jonathan Aquilina ( wa pili kulia ) kuhusu maarifa ya kupata kazi. Kwa habari kamili BOFYA HAPA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani