Kampuni ya Green Miles yatakiwa kuondoa vifaa vyake Kitalu cha Lake Natron.
![](https://1.bp.blogspot.com/-LxPKed2vox8/Xk021vO4-cI/AAAAAAABDLU/sLHiM6oYqdc0-MjuqrW2lqzbRTfXrC5iACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Mwandishi wetu,Longido
Mamlaka ya usimamizi wanyamapori nchini(TAWA) imetaka Kampuni ya Green Miles iliyoondolewa katika kitalu cha uwindaji cha Lake Natron (East),kuondoa vifaa vyake.
Kampuni hiyo iliondolewa na Serikali tangu, January 22 lakini hadi Jana watendaji wa Kampuni hiyo walikuwa hawajajitokeza kuondoa vifaa vyao kwenye kambi inayolindwa na Askari wa TAWA,polisi na askari mgambo .
Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Hamis Kigwangalla Agost 7 mwaka jana alitangaza uamuzi wa Serikali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen04 Dec
Locals set to take charge of Lake Natron
10 years ago
NEWS.Com.Au (Blog)17 Aug
Lake Natron is spectacularly weird, and is also deadly
NEWS.com.au (blog)
IT MAY look pretty in pink, but this lake is actually pretty deadly. A series of incredible aerial photographs have captured the bizarrely coloured Lake Natron, in northern Tanzania, like never before. The water, which is coloured in several different shades of ...
10 years ago
TheCitizen02 Sep
UN agency names Lake Natron new tourism hot spot
10 years ago
KwanzaJamii25 Aug
Lake Natron’s Soda Ash Project is Safe, Tendering Going On
10 years ago
Spyghana.Com01 Jun
Villagers sign pact to save northern Tanzania's Lake Natron
spyghana.com
spyghana.com
Villagers in northern Tanzania have sealed a contract with the African Wildlife Foundation (AWF) in an effort towards rescuing Lake Natron, the main breeding site of flamingo birds, which are threatened by human activities in recent years, an official said on ...
10 years ago
BirdLife International02 Sep
World Migratory Bird Day 2014: Stakeholders Pledge to Protect Lake Natron
BirdLife International
BirdLife International
The Government of Tanzania has pledged to accord a higher protection status to the Lesser Flamingo (Phoeniconaias minor) breeding grounds of Lake Natron. This was revealed during the celebration of the World Migratory Bird Day (WMBD) 2014 on 28th ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lRj3cLc254I/XmO2hIebtjI/AAAAAAALhu8/oL2JWngb0H8nVXV7wyhhRhcm5twpzQ2qACLcBGAsYHQ/s72-c/84df0493-0af0-432f-b8e1-e7ea408690d0.jpg)
MAJALIWA AKAGUA KITALU CHA MICHE YA MKONGO CHA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO MLINGANO
![](https://1.bp.blogspot.com/-lRj3cLc254I/XmO2hIebtjI/AAAAAAALhu8/oL2JWngb0H8nVXV7wyhhRhcm5twpzQ2qACLcBGAsYHQ/s640/84df0493-0af0-432f-b8e1-e7ea408690d0.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano wilayani Muheza Machi 6, 2020. Kulia ni Mwenyekti wa CCM wa mkoa wa Tanga, Henry Shekifu, wa nne kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba na wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa Kituo hicho, Dkt. Catherene Senkoro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/583558ca-e6a7-4ff8-a65d-fcffec80958b.jpg)
10 years ago
Mwananchi15 Dec
EAC yatakiwa kuondoa vikwazo vya ajira
9 years ago
StarTV24 Nov
Serikali yatakiwa kuondoa vitendo vinavyochochea Ukatili Wa Watoto
Wanaharakati wanaopinga ukatili wa Kijinsia na kutetea haki za Watoto nchini, wameitaka serikali kuondoa vitendo vinavyochochea ukatili kwa watoto ili wasiathirike katika maisha yao.
Aidha wameishauri Serikali kuangalia vitendo hivyo visije kuvunja na kuathiri malezi bora ya vizazi vijavyo kwakutengeneza jamii yenye mmomonyoko wa maadili katika sekta za maendeleo.
Tanzania, Maadhimisho ya siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia yamelenga zaidi suala la usalama shuleni kwa lengo la...