MAJALIWA AKAGUA KITALU CHA MICHE YA MKONGO CHA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO MLINGANO
![](https://1.bp.blogspot.com/-lRj3cLc254I/XmO2hIebtjI/AAAAAAALhu8/oL2JWngb0H8nVXV7wyhhRhcm5twpzQ2qACLcBGAsYHQ/s72-c/84df0493-0af0-432f-b8e1-e7ea408690d0.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano wilayani Muheza Machi 6, 2020. Kulia ni Mwenyekti wa CCM wa mkoa wa Tanga, Henry Shekifu, wa nne kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba na wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa Kituo hicho, Dkt. Catherene Senkoro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DHnq2kaMQ-Q/U3TNnw5E_tI/AAAAAAAAFa8/3WLjrMld-ZY/s72-c/IMG_1363.jpg)
MKUU WA MKOA WA RUKWA AONANA NA WATAFITI KUTOKA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO UYOLE MBEYA KUJADILI KUINUA KILIMO CHA NGANO MKOANI RUKWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-DHnq2kaMQ-Q/U3TNnw5E_tI/AAAAAAAAFa8/3WLjrMld-ZY/s1600/IMG_1363.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-m5vDqkfZBoo/U3TNvDNgCnI/AAAAAAAAFbE/V45SjPjcT7E/s1600/IMG_1358.jpg)
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akagua shughuli za kilimo cha mkono kijiji cha Kwemnyefu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima na kupanda mahindi katika shamba kijijini Kwemnyefu Kata ya Mpapayu wilayani Mheza mkoani Tanga pamoja na wananchi wakati alipotembelea shamba hilo na kukagua shughuli za kilimo cha mkono, Katika shughuli hiyo katibu mkuu huyo ameshirikiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_3ehNVYIol8/Xmj7csL9zbI/AAAAAAAC8Rc/-unosEn8oYIsqi9sW8YT0ToiXVD-_X32wCLcBGAsYHQ/s72-c/R1.jpg)
WAZIRI MHAGAMA ATAKA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KITALU NYUMBA KUIMARISHWA USIMAMIZI NA UENDESHAJI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-A9JNWBLu2bc/XtjetbaDUTI/AAAAAAALsms/oPT1AWznw0csjjgGVQ_aXzjQ6BtxpeknwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200604-WA0078.jpg)
WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA
Na Pamela Mollel, Arusha.
KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5 ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira
Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Mlingano wapata kituo cha afya
SHIRIKA la Kikorea la kuhudumia afya za watoto chini ya miaka kumi (UHIC), kupitia mradi wake wa Keeper, limefungua kituo cha afya katika Kijiji cha Mlingano, Muheza mkoani Tanga. Akizungumza...
5 years ago
MichuziKITUO CHA UTAFITI WA KILIMO-SAT WATOA MBINU YA KUKABILIANA NA VIWAVIJESHI KWA KUTUMIA MIMEA
Meneja wa Kituo cha Utafiti wa kilimo ambacho kinamilikiwa na Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) Frank Marwa akielezea hatua nne za ukuaji wa viwavijeshi ambaye ni moja ya wadudu waharibifu wa mazao shambani.
Frank Marwa ambaye ni Meneja wa Kituo cha utafiti wa kilimo akiwa ameshika jani la mpapai ambalo nalo hutumika kuua wadudu wa haribifu wa...
10 years ago
MichuziTRA KUCHAMBUA RIPOTI YA KITUO CHA UTAFITI CHA KODI CHA KIMATAIFA (ICTD)
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PzH99f7sVJ0/VieGeTn9sXI/AAAAAAAIBgk/T4wYTeKyAlM/s72-c/2.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA KITUO CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU CHA TAIFA (NATIONAL INTERNET DATA CENTRE) KIJITOMYAMA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-PzH99f7sVJ0/VieGeTn9sXI/AAAAAAAIBgk/T4wYTeKyAlM/s640/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Q3BixzuiMmA/VieGXwFBeDI/AAAAAAAIBfM/u20hDFLIxoM/s640/03.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10