Viongozi wa dini watakiwa kuondoa migogoro ya ardhi
VIONGOZI wa dini wametakiwa kusaidiana na Serikali, kuondoa migogoro ya ardhi inayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema makanisa na misikiti itumike vizuri kutatua matatizo ya migogoro ya ardhi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV24 Dec
Kuondoa Migogoro Ya Ardhi TPCF yaitaka Serikali kuanzisha sera ya wafugaji
Mtandao unaoshughulika na utetezi wa haki za wafugaji hapa nchini umeitaka serikali kuwezesha upatikanaji wa sera ya ufugaji wa asili pamoja na kupima ardhi ya wafugaji ili kuondoa migogoro ya wafugaji na wakulima.
Aidha mtandao huo umeikumbusha serikali kuwa kutokutekeleza wajibu na kupelekea haki za binadamu kukiukwa ni kinyume cha sheria na uvunjifu wa mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu.
Akizungumza jijini Arusha katika ofisi za mtandao wa wafugaji Mkurugenzi wa mtandao huo...
9 years ago
StarTV04 Jan
 Wataalam wa ardhi watakiwa kuwa makini katika upimaji ili Kuepuka Migogoro
Wataalam wa ardhi katika Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya wametakiwa kuwa makini wakati wa utekelezaji wa kazi ya upimaji wa viwanja vya makazi na mji wa halmashauri hiyo ili kuepuka migogoro ya ardhi isiyo ya lazima na wananchi.
Tahadhari hiyo imetolewa na Kamishna wa Ardhi kanda ya kaskazini Suma Tumpale kutokana nia taarifa ya wataalamu wa Ardhi wa Halmashauri hiyo kueleza kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wananchi wanaopinga uendeshwaji wa zoezi hilo katika maeneo yao.
Halmashauri ya...
10 years ago
Habarileo11 May
Viongozi Afrika watakiwa kuepusha nchi na migogoro
MWAKILISHI wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani, Balozi Amina Salum Ally amewataka viongozi wa Afrika kutumia mbinu mbalimbali ili kuziepusha nchi zao na migogoro ya mara kwa mara inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani na kudumaa kwa uchumi.
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Viongozi watakiwa kutopuuza taasisi za dini
VIONGOZI wa Serikali, wametakiwa kutopuuza mialiko kutoka Taasisi za kidini kwani katika shughuli hizo za kijamii hutumika kufikisha changamoto zao ambazo zinahitaji ufumbuzi. Ombi hilo limetolewa mjini Kibaha juzi, wakati...
9 years ago
Habarileo13 Oct
Viongozi wa dini watakiwa kuwakwepa wanasiasa
VIONGOZI wa dini wametakiwa kuwa wavumilivu na kuacha mabishano na wanasiasa ili kuepusha mvurugano unaoweza kusababisha uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha uchaguzi.
10 years ago
Habarileo15 Jul
Viongozi wa dini watakiwa kuungana kuhubiri amani
VIONGOZI wa dini nchini, wametakiwa kuwa kitu kimoja kuhubiri amani katika kipindi cha kuelekea kwenye uchuguzi mkuu.
10 years ago
Habarileo25 Feb
Viongozi wa dini watakiwa kuanzisha kamati za amani
VIONGOZI wa dini zote nchini, wameshauriwa kuanzisha Kamati za Pamoja za Amani katika mikoa waliyomo, kujadili changamoto zinazojitokeza Tanzania, zikihusisha imani.
10 years ago
Habarileo05 Jun
Viongozi wa dini watakiwa kutoshabikia siasa chafu
VIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kutojihusisha na kampeni chafu za siasa hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya nyumba za ibada.
5 years ago
CCM BlogOFISI ZA ARDHI ZA MIKOA ZATAKIWA KUWA NA DAFTARI LA MIGOGORO YA ARDHI