Viongozi watakiwa kutopuuza taasisi za dini
VIONGOZI wa Serikali, wametakiwa kutopuuza mialiko kutoka Taasisi za kidini kwani katika shughuli hizo za kijamii hutumika kufikisha changamoto zao ambazo zinahitaji ufumbuzi. Ombi hilo limetolewa mjini Kibaha juzi, wakati...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Apr
Viongozi taasisi za dini wacharuka
Esther Mbussi na Grace Shitundu, Dar es Salaam
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amezua jambo baada ya kuhusishwa na kauli ya Serikali kuhusu kuzifungia taasisi mbalimbali zikiwamo za kidini.
Hatua ya Askofu Gwajima kuziponza taasisi hizo, imetafsiriwa na viongozi wa dini siku moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe kutangaza tishio la kuzifuta taasisi hizo.
Kutokana na hatua hiyo, viongozi wa dini wamemtaka Waziri Chikawe kufuta kauli yake ambayo...
9 years ago
Habarileo13 Oct
Viongozi wa dini watakiwa kuwakwepa wanasiasa
VIONGOZI wa dini wametakiwa kuwa wavumilivu na kuacha mabishano na wanasiasa ili kuepusha mvurugano unaoweza kusababisha uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha uchaguzi.
11 years ago
Habarileo05 Feb
Viongozi wa dini watakiwa kuondoa migogoro ya ardhi
VIONGOZI wa dini wametakiwa kusaidiana na Serikali, kuondoa migogoro ya ardhi inayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema makanisa na misikiti itumike vizuri kutatua matatizo ya migogoro ya ardhi.
10 years ago
Habarileo15 Jul
Viongozi wa dini watakiwa kuungana kuhubiri amani
VIONGOZI wa dini nchini, wametakiwa kuwa kitu kimoja kuhubiri amani katika kipindi cha kuelekea kwenye uchuguzi mkuu.
10 years ago
Habarileo25 Feb
Viongozi wa dini watakiwa kuanzisha kamati za amani
VIONGOZI wa dini zote nchini, wameshauriwa kuanzisha Kamati za Pamoja za Amani katika mikoa waliyomo, kujadili changamoto zinazojitokeza Tanzania, zikihusisha imani.
10 years ago
Habarileo05 Jun
Viongozi wa dini watakiwa kutoshabikia siasa chafu
VIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kutojihusisha na kampeni chafu za siasa hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya nyumba za ibada.
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHUDIA VIONGOZI WA TAASISI ZA DINI WAKITIA SAINI
5 years ago
MichuziTAASISI YA ODO UMMY FOUNDATION YATOA VIFAA VYA USAFI KWA TAASISI KUBWA ZA DINI JIJINI TANGA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QGAL97PIhPA/VLpX0nISEgI/AAAAAAAG9-w/giB02-NwJuY/s72-c/DSC_0801.jpg)
VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...