Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi Afrika watakiwa kuepusha nchi na migogoro

Mwakilishi wa Kudumu wa AU nchini Marekani, Balozi Amina Salum AllyMWAKILISHI wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani, Balozi Amina Salum Ally amewataka viongozi wa Afrika kutumia mbinu mbalimbali ili kuziepusha nchi zao na migogoro ya mara kwa mara inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani na kudumaa kwa uchumi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuondoa migogoro ya ardhi

VIONGOZI wa dini wametakiwa kusaidiana na Serikali, kuondoa migogoro ya ardhi inayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema makanisa na misikiti itumike vizuri kutatua matatizo ya migogoro ya ardhi.

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa Afrika watakiwa kushirikiana

VIONGOZI wa nchi za Afrika wametakiwa kudumisha ushirikiano baina ya nchi zao ili wafikie maendeleo na kutoiga tabia ya viongozi wa zamani ya kutothamini ushirikiano, kwa kuwa inadumaza maendeleo, licha ya nchi zao kuwa na uhuru.

 

9 years ago

StarTV

DNA yadaiwa kuepusha migogoro katika mahusiano:

Kukiwa kumekidhiri kwa migogoro mingi miongoni mwa wanafamilia kutokana na utambuzi wa watoto Jamii imetakiwa kujijengea mazoea ya kupima vinasaba ili kuondoa tatizo la migogoro ya familia inayojitokeza katika utambuzi wa mahusiano ya vinasaba kati ya watoto na wazazi.

Sehemu kubwa ya wanajamii wanadaiwa kujijengea mazoea ya kupima vinasaba pale wanapokuwa hawana uhakika na uhalali wa baadhi ya watoto katika ndoa zao.

 

Mkemia Mkuu wa Serikali na Mkuu wa kitengo cha DNA Segumba amesema...

 

10 years ago

Michuzi

ANDIKENI WOSIA KUEPUSHA MIGOGORO - WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewataka Watanzania wote nchini wajenge tabia ya kuandika wosia ili kuondoa matatizo ya mirathi pindi mume anapoaga dunia.
Ametoa wito huo leo mchana (Ijumaa, Mei 29, 2015) wakati akizindua kampeni ya kuandika wosia kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza mara baada ya kushuhudia uandishi wa wosia mbele ya wakili, Waziri Mkuu alisema uandishi wa...

 

9 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA NCHI WATAKIWA KUSHIRIKI, KURIDHIA MABAKUBALIANO YA MKUTANO WA MAENDELEO YA ENDELEVUNCHINI MAREKANI

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiVIONGOZI wa nchi wametakiwa kushiriki katika mkutano wa umoja wa Mataifa wa kujadili malengo 17 ya maendeleo endelevu utaofanyika Septemba 25 mwaka huu nchini Marekani.


Akizungumza na waandishi  habari leo jijini Dar es Salaam, Mratibu wa Mtandao wa Mabadilliko ya Tabia nchi (CAN), Sixberty Mwanga ,amesema kuwa mkutano huo ni muhimu katika kuweza kutekeleza eneo la mabadiliko ya tabia nchi kutokana na kadri ya siku zinavyoongezeka hali ya ukame inazidi...

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu jinsi mawasiliano bora yanavyoweza kuepusha migogoro na migomo sehemu za kazi

Je unajua kuwa katika maisha ni muhimu kwa kila mtu kuelewana na mwenzake, kwani hii ndiyo njia pekee ya mtu kumuelewa mwenzake na kutambua hisia, matakwa na vitu anavyovipenda na asivyovipenda. Maelewano haya huweza kupatikana kwa mawasiliano.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE KUFUTA USAJILI WA MAKANISA YENYE MIGOGORO KWA LENGO LA KUEPUSHA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na maelfu ya Waumini wa Karismatiki Katoliki, Jimbo la Dar es Salaam katika maombi maalumu kwa ajili ya kuliombea Taifa yaliyofanyika Kituo cha Karismatiki, Ubungo jijini Dar es Salaam. Waziri Chikawe ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maombi hayo aliyataka Makanisa nchini kudumisha amani na utulivu na kuendelea kuliombea Taifa na kuepuka kuingia katika migogoro mbalimbali ambayo itasababisha taifa kuingia katika uvunjifu amani...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI NCHINI WATAKIWA KUSHIRIKI MKUTANO MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NCHINI ETHIOPIA

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
VIONGOZI nchini wametakiwa kushiriki katika mkutano wa mabadiliko ya tabia ya nchi utakaofanyika Julai 13 na 16 Addis Ababa Ethiopia.


Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi (CAN),Sixsbaty Mwanga amesema mkutano huo ni muhimu kutokana hali iliyopo sasa katika mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kuongezeka ukame ,njaa pamoja na mafuriko, hivyo viongozi wanaweza kushawishi mkutano katika kuongeza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aongoza mkutano wa kamati ya viongozi wa Afrika kuhusu Tabia nchi

mm2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano wa Kamati ya Viongozi wa Afrika Kuhusu Tabia Nchi  ulioitishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon pembeni mwa mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika mjini Malabo, Equatorial Guinea leo Juni 27, 2014.(PICHA NA IKULU).

mm6

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani