DNA yadaiwa kuepusha migogoro katika mahusiano:
Kukiwa kumekidhiri kwa migogoro mingi miongoni mwa wanafamilia kutokana na utambuzi wa watoto Jamii imetakiwa kujijengea mazoea ya kupima vinasaba ili kuondoa tatizo la migogoro ya familia inayojitokeza katika utambuzi wa mahusiano ya vinasaba kati ya watoto na wazazi.
Sehemu kubwa ya wanajamii wanadaiwa kujijengea mazoea ya kupima vinasaba pale wanapokuwa hawana uhakika na uhalali wa baadhi ya watoto katika ndoa zao.
Mkemia Mkuu wa Serikali na Mkuu wa kitengo cha DNA Segumba amesema...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLREDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA
10 years ago
MichuziANDIKENI WOSIA KUEPUSHA MIGOGORO - WAZIRI MKUU
Ametoa wito huo leo mchana (Ijumaa, Mei 29, 2015) wakati akizindua kampeni ya kuandika wosia kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza mara baada ya kushuhudia uandishi wa wosia mbele ya wakili, Waziri Mkuu alisema uandishi wa...
10 years ago
Habarileo11 May
Viongozi Afrika watakiwa kuepusha nchi na migogoro
MWAKILISHI wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani, Balozi Amina Salum Ally amewataka viongozi wa Afrika kutumia mbinu mbalimbali ili kuziepusha nchi zao na migogoro ya mara kwa mara inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani na kudumaa kwa uchumi.
10 years ago
MichuziFUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.
Stuttgart,Ujerumani,Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini...
11 years ago
Mwananchi11 Feb
CCM yadaiwa kutumia migogoro kujiimarisha
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Fahamu jinsi mawasiliano bora yanavyoweza kuepusha migogoro na migomo sehemu za kazi
11 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE KUFUTA USAJILI WA MAKANISA YENYE MIGOGORO KWA LENGO LA KUEPUSHA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Faida na Hasara za majibizano katika mahusiano