ANDIKENI WOSIA KUEPUSHA MIGOGORO - WAZIRI MKUU
![](http://1.bp.blogspot.com/-g_fTvt-rr-Q/VWh11NMRFAI/AAAAAAAHapI/EHL7L3vBSc0/s72-c/PG4A0630.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewataka Watanzania wote nchini wajenge tabia ya kuandika wosia ili kuondoa matatizo ya mirathi pindi mume anapoaga dunia.
Ametoa wito huo leo mchana (Ijumaa, Mei 29, 2015) wakati akizindua kampeni ya kuandika wosia kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza mara baada ya kushuhudia uandishi wa wosia mbele ya wakili, Waziri Mkuu alisema uandishi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gG0IU87vSnI/U9V1Y_cJkMI/AAAAAAAF7Ik/JjZdrBSNhR4/s72-c/unnamed+(7).jpg)
WAZIRI CHIKAWE KUFUTA USAJILI WA MAKANISA YENYE MIGOGORO KWA LENGO LA KUEPUSHA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-gG0IU87vSnI/U9V1Y_cJkMI/AAAAAAAF7Ik/JjZdrBSNhR4/s1600/unnamed+(7).jpg)
10 years ago
Habarileo11 May
Viongozi Afrika watakiwa kuepusha nchi na migogoro
MWAKILISHI wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani, Balozi Amina Salum Ally amewataka viongozi wa Afrika kutumia mbinu mbalimbali ili kuziepusha nchi zao na migogoro ya mara kwa mara inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani na kudumaa kwa uchumi.
9 years ago
StarTV22 Sep
DNA yadaiwa kuepusha migogoro katika mahusiano:
Kukiwa kumekidhiri kwa migogoro mingi miongoni mwa wanafamilia kutokana na utambuzi wa watoto Jamii imetakiwa kujijengea mazoea ya kupima vinasaba ili kuondoa tatizo la migogoro ya familia inayojitokeza katika utambuzi wa mahusiano ya vinasaba kati ya watoto na wazazi.
Sehemu kubwa ya wanajamii wanadaiwa kujijengea mazoea ya kupima vinasaba pale wanapokuwa hawana uhakika na uhalali wa baadhi ya watoto katika ndoa zao.
Mkemia Mkuu wa Serikali na Mkuu wa kitengo cha DNA Segumba amesema...
9 years ago
Michuzi23 Dec
Ma-RC, Ma-DC DHIBITINI MIGOGORO YA ARDHI – WAZIRI MKUU
![maj2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/maj22.jpg)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanaongeza udhibiti na usimamizi wa migogoro ya ardhi kwenye maeneo yao husika. Ametoa agizo hilo leo mchana (Jumatano, Desemba 23, 2015) wakati akizungumza na viongozi wa mkoa wa Lindi kwenye Ikulu ndogo mara baada ya kuwasili akitokea jimboni kwake Ruangwa.
“Ardhi ni mali ya Serikali lakini maeneo yanayotwaliwa kwa sababu mbalimbali za maendeleo yasiwe...
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Fahamu jinsi mawasiliano bora yanavyoweza kuepusha migogoro na migomo sehemu za kazi
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YK7YUxgP3lA/VNkQhiFP-RI/AAAAAAAHCto/7JEmX9UFYuo/s72-c/download%2B(1).jpg)
JE WAJUA KUWA WOSIA WA MANENO NI WOSIA HALALI KISHERIA?
![](http://2.bp.blogspot.com/-YK7YUxgP3lA/VNkQhiFP-RI/AAAAAAAHCto/7JEmX9UFYuo/s1600/download%2B(1).jpg)
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0851.jpg)
REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/iWx3Rjj7Jyk/default.jpg)