MTITU: SIONI SHIDA KUMBEBA MGONGONI MWANANGU
![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5mgoHcVQzaHfkMTeN8EiveHvb3CKtXdBjw2fOwZpnuh4*LMKTgEad94miMZaeuTPROBIXpEGGM1EutpXEsSBMDel/mtitu.jpg)
Stori: Gladness Mallya MALEZI! Msanii wa filamu Bongo, William Mtitu amefunguka kuwa haoni shida kumsaidia mkewe kumlea mtoto ikiwa ni pamoja na kumbeba mgongoni. Msanii wa filamu Bongo, William Mtitu akiwa na mke wake. Mtitu alisema huwa anawashangaa wanaume wanaoshindwa kuwasaidia wake zao kulea kwa kigezo kwamba siyo kazi yao hasa wanaume wa mjini jambo ambalo linawakandamiza wanawake kwani raha ya ndoa ni kusaidiana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Bilohe: Sioni mgombea tishio
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
Van Gaal: Sioni haja ya kujiuzulu
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Izo Business: Sioni umuhimu wa kujihusisha na siasa
NA JUMA HEZRON, DAR ES SALAAAM
MSANII wa muziki wa Hip Hop, Emmanuel Simwinga ‘Izo Business’, amesema licha ya kushauriwa na rafiki zake kuingia kwenye siasa, bado hajaona umuhimu wa kufanya hivyo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Izo Business alisema hakuna umuhimu wa kuingia kwenye siasa, kwani inatakiwa mtu ajitoe kwa ajili ya watu na siyo kuingia ili ujipatie fedha kama yalivyo mawazo ya wasanii wengi.
“Siasa kwa upande wangu sijaipa kipaumbele, ingawa nimeshawishiwa na marafiki zangu...
9 years ago
Habarileo14 Nov
Uzoefu, busara kumbeba Spika
WABUNGE jana walianza kujisajili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 11 wiki ijayo, huku wengi wao wakitoa maoni ya sifa wanazozitaka kwa Spika mpya wa Bunge hilo, zikiwemo uzoefu, busara, kujua kanuni na mwenye utayari wa kuyakabili mabadiliko.
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Sekeleti kumbeba Rose Muhando
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa injili, Ephraim Sekeleti, atatumbuiza katika uzinduzi wa albamu ya ‘Kamata Pindo la Yesu’ ya Rose Muhando utakaofanyika Agosti 3, Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar...
11 years ago
Bongo507 Aug
New Music: Papaa Masai Ft. Tunda Man — Sioni Ajabu
10 years ago
Habarileo12 Dec
Nishati wazidi kumbeba Prof. Muhongo
WAKATI Watanzania wakisubiri uchunguzi unaofanywa na Serikali kuhusu utoaji wa fedha Sh bilioni 182.77 katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), taarifa zaidi zimebainisha kuwa uongozi wa miaka miwili ya Wizara ya Nishati na Madini, chini ya Waziri Profesa Sospeter Muhongo, umefanikisha ongezeko la umeme katika Gridi ya Taifa.
10 years ago
Mwananchi02 Apr
Gesi kumbeba Muhongo mbio za Urais