Van Gaal: Sioni haja ya kujiuzulu
Meneja wa Manchester Louis van Gaal, amesema haoni haja ya kujiuzulu baada ya timu yake kutoka sare ya 0-0 na Chelsea uwanjani Old Trafford.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Sioni haja ya ukomo nyota wageni timu za Ligi Kuu
KUMEKUWEPO na maoni tofauti juu ya idadi ya wachezaji wa kigeni katika timu za Ligi Kuu nchini; kwa wengine kupendekeza wawe wengi zaidi kuongeza ushindani wa kupata namba katika kikosi...
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Hatufikirii ubingwa:Van gaal
meneja wa Manchester United Louis van Gaal amegoma kujitumbukiza katika mbio za ubingwa
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
VAN GAAL : FIFA IMETUONEA
Mkufunzi wa Uholanzi Louis va Gaal ameikashifu ratiba ya mechi za mkondo wa pili akisema inapendelea mataifa mengine
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Mourinho amsifu Van Gaal
Mkufunzi wa timu ya Manchester Louis van Gaal amesisitiza kuwa hakuchukuwa jukumu kubwa la kumboresha Mourinho
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Van Gaal:Tutashinda Wolfsburg
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amekiri kwamba klabu hiyo inakabiliwa na mechi ngumu itakapokutana na Worlfsburg.
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Namshukuru Ferguson kuniamini: Van Gaal
Meneja wa Manchester United amesema kuaminiwa na bosi wa zamani wa timu hiyo Sir Alex Ferguson kumeifanya kazi yake kuwa nyepesi.
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Manchester United ‘wamkuna’ Van Gaal
Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Everton umemfurahisha kocha wa Manchester United, Louis van Gaal akiueleza kuwa umemsaidia kuwaimarisha kiakili wachezaji wake, ambao kwa sasa wanajiamini.
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Neville na Scholes wamkosoa Van Gaal
Louis Van Gaal amewaambia wachezaji wa zamani Gary NevilLe na mwenzake Paul Scholes kwamba hawajui chochote kuhusu kilabu hiyo.
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
Van Gaal aambulia kichapo Old Trafford
Louis van Gaal aliambulia kichapo cha 2-1 dhidi ya Swansea katika mechi yake ya kwanza ya ligi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania