Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aina za kampuni unazoweza kumiliki

Ndugu msomaji wa Uwanja wa Kambole, leo tutajikita kwenye aina za kampuni zinazotambuliwa na sheria namba 12 ya mwaka 2002. Kuna aina mbalimbali za kampuni na zinatofautiana kulingana na uhitaji na malengo ya mtu anayefungua pia akipata ushauri wa mwanasheria wake. Zifuatazo ni aina za kampuni Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: AINA ZA FIDIA UNAZOWEZA KULIPWA SERIKALI INAPOTWAA ARDHI YAKO.

Na  Bashir  YakubKawaida  serikali  hutwaa  maeneo. Huhamisha  wahusika  wamiliki  na  kuchukua  eneo  kwa  malengo  maalum  yaliyokusudiwa. Yaweza  kuchukuliwa  nyumba yako, kiwanja,au  hata  shamba. Mara  kadhaa  serikali  hufanya  hivi  panapo  mahitaji  maalum  ya shughuli  za  umma  kama  ujenzi  wa  miundombinu  kama  barabara  reli, huduma za  umeme  na  maji,  ujenzi  wa  shule vyuo, vituo  vya  afya  na  miradi  mingineyo  kwa  manufaa  ya umma.


1.FIDIA  YA  ARDHI NI NINI...

Fidia ...

 

10 years ago

Bongo5

Akothee: Msanii wa Kenya aliyepitia udereva ma3/taxi hadi kumiliki kampuni ya tour na nyumba za kupanga (Video)

Kwa msichana mwingine, kuachwa na mume aliyekuwa akimtegemea kwa kila kitu na kuachiwa watoto wadogo wanaohitaji kula na kwenda shule, kingekuwa chanzo cha kuamua kwenda kufanya kazi hatarishi ikiwemo kujiuza mwili wake. Hata hivyo, kwa Esther Akoth Kokeyo anayejulikana kwa jina la muziki kama Akothee, hali ilikuwa tofauti. “Nilipopata talaka niliona maisha yamenikatikia,” Akothee aliambia […]

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA CANADIAN SOLUTIONS TRADING&CLEANING Est WATAMBULISHA TILES AINA MPYA ZISIZOKUWA NA UTELEZI KWENYE SOKO LA TANZANIA

 Kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est Juzi imetambulisha Aina Mpya Ya Tiles kwenye soko la Tanzania ikiwa na kauli ya  "SURE STEP" ndani ya Hotel ya Double Tree Jijini Dar es Salaam..Aina mpya hiyo ya Tiles ni mpya Tanzania kwani ni aina ambayo haina utelezi wakati wote hata pindi ikiwa na maji au Imelowa kwa Mvua au Unyevunyevu.Sure Step inafanya Kazi Vipi?akiongea na wageni walioalikwa na wadau mbalimbali Bwana Thomas amesema kuwa Tiles Hizo zina ubora wa hali ya juuu ikiwemo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Canadian Solutions Trading & Cleaning Est watambulisha Tiles aina mpya zisizokuwa na utelezi kwenye soko la Tanzania

Kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est Juzi imetambulisha aina mpya ya Tiles kwenye soko la Tanzania ikiwa na kauli ya  “SURE STEP” ndani ya Hotel ya Double Tree Jijini Dar es Salaam. Aina mpya hiyo ya Tiles ni mpya Tanzania kwani ni aina ambayo haina utelezi wakati wote hata pindi ikiwa na maji au imelowa kwa Mvua au Unyevunyevu. Sure Step inafanya Kazi Vipi? akiongea na wageni walioalikwa na wadau mbalimbali Bwana Thomas amesema kuwa Tiles hizo zina ubora wa hali ya juu ikiwemo...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MABATI YA AFRICAN ALLUMIUM (ALAF), IMEZINDUA MABATI AINA YA ROYAL VERSATILE

Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Mabati ya Alluminium Afrika (Alaf), Yahya Ngoza akizungumza na mmoja kati ya wateja waliotembelea banda hilo, wakati wa Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), katika Viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere barabara ya Kilwa.  Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Mabati ya Alluminium Afrika (Alaf), Monica Reuben akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliofika katika banda la kampuni hiyo, wakati wa Maonyesho ya 39 ya Biashara...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BE FORWARD YAKABIDHI GARI AINA YA TOYOTA IST KWA MSHINDI JIJINI ARUSHA KATIKA PROMOSHENI YA JISHINDIE IST


DSC00871Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake,  Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la TanzaniaDSC00877Muonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12
DSC00875Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe Hazina...

 

9 years ago

Mwananchi

Huduma unazoweza kupata bure mitandaoni-1

Mapinduzi ya teknolojia yamebadilisha mambo mengi. Yamebadili mwenendo wa maisha, utendaji wa kazi, shughuli za kijamii, siasa, uchumi na hata elimu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matajiri kumiliki mali zaidi

Shirika la kimataifa la misaada nchini Uingereza, Oxfam, limeonya kwamba kufikia mwaka ujao, matajiri ambao ni asilimia moja ya idadi ya watu duniani, watamiliki mali zaidi kuliko asilimia 99 iliyosalia ya watu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani