Utapeli wa kuongeza nauli waibuka Ubungo
KATIKA Kituo cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya Nchi cha Ubungo (UBT), kumeibuka utapeli unaofanywa na mawakala wa kuwauzia tiketi kwa bei ya juu wasafiri. Akizungumza na Tanzania Daima...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Utapeli wa nyumba za kupanga waibuka
Umeibuka mtandao wa matapeli jijini hapa wanaojifanya madalali wa nyumba na viwanja, ambao wanatumia matangazo na namba za simu wanazoziweka magazetini kuwanasa watu kwa urahisi.
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Utapeli wakithiri Kituo cha Mabasi Ubungo
Kama siyo mwenyeji wa jiji hili au kama hujatembelea maeneo ya Ubungo kwa muda mrefu unaweza kupoteza ramani ya hapa. Kwa sasa eneo hili lina mwonekano tofauti kiasi ukilinganisha na kipindi cha nyuma.Â
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Polisi watahadharisha kuongeza nauli Krismasi, Mwaka Mpya
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga amesema kampuni au mtu atakayeongeza nauli ya mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya atakamatwa na kufikishwa mahakamani.
9 years ago
MichuziKAMANDA MPINGA AONYA WENYE MABASI KUONGEZA NAULI, AZINDUA HUDUMA FASTA FASTA KWA BODABODA
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-VPKY9nNDLDc/Uk1b80BggeI/AAAAAAAAGm0/H45dRC6HgWY/s72-c/blog13.jpg)
TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA
![](http://1.bp.blogspot.com/-VPKY9nNDLDc/Uk1b80BggeI/AAAAAAAAGm0/H45dRC6HgWY/s640/blog13.jpg)
Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-X70QsS2H60M/UzxOO8CJY5I/AAAAAAAFX60/22xIfLW3uzw/s72-c/New+Picture+(7).bmp)
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Jihadhari na utapeli huu
KUNDI la matapeli limeibuka na kuwaliza mamilioni ya fedha watu wanaosaka ajira nchini, Tanzania Daima limebaini. Matapeli hao hujifanya maofisa wa baadhi ya ofisi za umma ambao hutangaza kwamba kuna...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfbIEIcZp*y2eb1*kzoYYRH1cs-vMdAqYjV4Rt5Mr0n8O5Cz7XrK6Qsqs2BZ8cDqwuVx6sx0IqngW0zoBHLQ127D/MASOGANGE.jpg)
MASOGANGE NA SKENDO YA UTAPELI
Stori: Imelda Mtema
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.Akizungumza na mwanahabari wetu, Masogange alisema kuwa watu wanaotumia jina lake wakome Video Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’. kwa sababu wanamjengea hisia tofauti...
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
BBC yawatahadharisha juu ya utapeli
BBC inawatahadharisha wasikilizaji na watumiaji wa mtandao wake dhidi ya watu wenye nia ya kitapeli kwa kutumia jina lake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania