Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTAISHI KWA KUUNGAUNGA, KUPIGA MIZINGA HADI LINI?

MPENZI msomaji, leo nimedhamiria kuwazungumzia watu ambao Mungu amewapa afya njema na nguvu za kutosha lakini bila kuona aibu, wanaishi maisha ya kuungaunga kwa kupiga mizinga ikiwa ndiyo utaratibu wao wa kila siku. Ukweli ni kwamba kuna umuhimu mkubwa wa wale waliofanikiwa katika maisha kuwakumbuka na kuwasaidia wasiojiweza lakini kwa wale wazima, wenye afya na nguvu za kutosha hawastahili kusaidiwa bali wanatakiwa kutumia vile...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHITUKA WEWE! UTAISHI KWENYE NYUMBA YA KUPANGA MPAKA LINI?

Maisha siku zote ni kuwa na malengo, namaanisha malengo ya muda mfupi na yale ya muda mrefu. Kwamba unaishi huku ukijua mwaka huu utafanya jambo flani na mwaka kesho utafanya jambo flani.
Cha ajabu sasa wapo watu ambao hawana malengo yoyote, wanaishi ili mradi siku zinakwenda. Hili ni tatizo na ukijaribu kufuatilia utagundua wote wanaoishi bila malengo wana maisha magumu na wameridhika nayo. Yaani hawajui kesho yao itakuwaje na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mateso kwa bodaboda Dar hadi lini?

OPERESHENI ya kukamata pikipiki zinazoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam iliyoanzishwa zaidi ya miezi miwili iliyopita, imepokewa kwa mtazamo tofauti na wananchi hususani vijana wanaozitumia kwa kufanya biashara...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makala ya kuongeza uzalishaji mazao ya Nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa na kuondokana na mizinga ya asili katika mkoa wa Singida

bidhaa[1]

Na Jumbe Ismailly, Singida      

HALMASHAURI ya wilaya ya Singida ina ukubwa wa kilomita za mraba 3,787 ambazo wananchi wake hujishughulisha na kilimo na ufugaji.

Mazao ya chakula na biashara yanayolimwa na wananchi hao ni pamoja na mtama,uwele,alzeti,vitunguu na dengu na zao la kipaumbele ni asali kwa ajili ya chakula na biashara.

Halmashauri ya wilaya ya Singida ina maeneo mapana ya ufugaji nyuki ikiwemo misitu ya watu binafsi na misitu ya ardhi ya Kijiji ukiwemo msitu wa Hifadhi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mizaha hii ya JK hadi lini?

MTU yeyote aliyezoea mizaha (maneno au vitendo vya kumfanyia mtu masihara; goya, utani, dhihaka) hawawezi kuhangaika kumtafakari sana Rais wetu Jakaya Kikwete. Kwa mtu wa aina hiyo kila atakachokisema au...

 

11 years ago

GPL

UTAPOTEZEWA MUDA WAKO HADI LINI?-3

KUJIFUNZA, kuelewa na kufuata ni kitu kizuri kwa mtu mwenye hulka ya kupanua mawazo yake. Hakuna aliyekamilika, siku watu wanakosea. Hakuna mtaalamu wa kudumu wa mapenzi. Kwenye mapenzi tunazidiana uelewa tu. Hapa kwenye All About Love, ni mahali sahihi pa marafiki kukutana na kubadilishana mawazo. Wengi wamenufaika kwa kuwa wadau wa kona hii.
Ni safu ya kitambo iliyobadilisha fikra za wengi. Nashukuru wale ambao...

 

10 years ago

Mwananchi

Tutabaki Washangiliaji Afcon hadi lini ?

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Guinea ya Ikweta inazidi kupamba moto.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Danadana hizi za viongozi hadi lini?

HIVI karibuni Umoja wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (Uwawada), walivamia ofisi ya Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwa madai kuwa ameshindwa kutekeleza ahadi ya kuwapatia maeneo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi watailinda CCM hadi lini?

HAYATI Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, muasisi wa muungano wa Tanzania na Rais wa kwanza wa Tanzania baada ya muungano, katika moja ya hotuba zake alieleza kushangazwa na viongozi waliofuatia baada...

 

10 years ago

Mwananchi

Dili za kuishia Oktoba hadi lini?

Mi kicheko tu, kwa kuwa nawaona wanatengeneza fedha inayoisha Oktoba. Usishangae kwa kuwa hadi kufikia hiyo Oktoba na kipaji nacho kitakuwa kimeshachuja.Kwa nini? Tazama luninga uone jinsi hawa ndugu zetu wasanii wanavyong’ara kwenye mikutano inayoshona kwa sana ya hao jamaa wanaonyatia nyumba kuu. Isitoshe nyomi nyingine inasababishwa na majina makubwa ya hao wasanii wa runinga na Bongo Fleva.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani