Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mateso kwa bodaboda Dar hadi lini?

OPERESHENI ya kukamata pikipiki zinazoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam iliyoanzishwa zaidi ya miezi miwili iliyopita, imepokewa kwa mtazamo tofauti na wananchi hususani vijana wanaozitumia kwa kufanya biashara...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UTAISHI KWA KUUNGAUNGA, KUPIGA MIZINGA HADI LINI?

MPENZI msomaji, leo nimedhamiria kuwazungumzia watu ambao Mungu amewapa afya njema na nguvu za kutosha lakini bila kuona aibu, wanaishi maisha ya kuungaunga kwa kupiga mizinga ikiwa ndiyo utaratibu wao wa kila siku. Ukweli ni kwamba kuna umuhimu mkubwa wa wale waliofanikiwa katika maisha kuwakumbuka na kuwasaidia wasiojiweza lakini kwa wale wazima, wenye afya na nguvu za kutosha hawastahili kusaidiwa bali wanatakiwa kutumia vile...

 

10 years ago

GPL

BANZA SIKU167 ZA MATESO HADI KIFO!

Gladness Mallya
Duniani sisi sote ni wasafiri! Ndiyo msemo ninaoweza kuanza nao katika makala haya maalum kwa aliyekuwa mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ aliyefariki dunia Ijumaa iliyopita baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ enzi za uhai wake. TUJIKUMBUSHE
Banza alizaliwa Oktoba 20, 1972 katika Hospitali ya Ocean Road...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mizaha hii ya JK hadi lini?

MTU yeyote aliyezoea mizaha (maneno au vitendo vya kumfanyia mtu masihara; goya, utani, dhihaka) hawawezi kuhangaika kumtafakari sana Rais wetu Jakaya Kikwete. Kwa mtu wa aina hiyo kila atakachokisema au...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Danadana hizi za viongozi hadi lini?

HIVI karibuni Umoja wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (Uwawada), walivamia ofisi ya Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwa madai kuwa ameshindwa kutekeleza ahadi ya kuwapatia maeneo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Tutabaki Washangiliaji Afcon hadi lini ?

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Guinea ya Ikweta inazidi kupamba moto.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi watailinda CCM hadi lini?

HAYATI Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, muasisi wa muungano wa Tanzania na Rais wa kwanza wa Tanzania baada ya muungano, katika moja ya hotuba zake alieleza kushangazwa na viongozi waliofuatia baada...

 

11 years ago

GPL

UTAPOTEZEWA MUDA WAKO HADI LINI?

SAFU ya marafiki, inayojadili mambo ya kirafiki na wadau wa rika zote ambao kwa kiasi kikubwa wamebadilishwa fikra zao kwa kuwa wafuasi wa hapa. Yes! All About Love iko hewani. Kama ndiyo mara ya kwanza unapitia ukurasa huu, umefika sehemu sahihi sana ya kukupa elimu kwa undani kuhusu uhusiano, maisha na mapenzi. Karibuni. Vilio vya wasichana wengi wenye umri wa kati (hasa kuanzia 24 – 30) ni kuhusu kuachwa baada ya kukaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Dili za kuishia Oktoba hadi lini?

Mi kicheko tu, kwa kuwa nawaona wanatengeneza fedha inayoisha Oktoba. Usishangae kwa kuwa hadi kufikia hiyo Oktoba na kipaji nacho kitakuwa kimeshachuja.Kwa nini? Tazama luninga uone jinsi hawa ndugu zetu wasanii wanavyong’ara kwenye mikutano inayoshona kwa sana ya hao jamaa wanaonyatia nyumba kuu. Isitoshe nyomi nyingine inasababishwa na majina makubwa ya hao wasanii wa runinga na Bongo Fleva.

 

11 years ago

GPL

UTAPOTEZEWA MUDA WAKO HADI LINI?-2

KUWA kwenye uhusiano usioeleweka ni sawa na kupanda basi usilojua linapoelekea! Mwisho wake lazima utapotea tu! Huo ndiyo ukweli wenyewe ulivyo. Hapa kwenye All About Love tunajifunza mbinu za kuendelea kuwa bora zaidi katika uhusiano na wapenzi wetu. Rafiki zangu kuna baadhi ya watu huingia kwenye uhusiano na ndani ya kipindi kifupi huishia kuachana. Wengine wanadumu kwa muda mrefu lakini ghafla wanakuja kuachwa wakati ambao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani