Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BANZA SIKU167 ZA MATESO HADI KIFO!

Gladness Mallya
Duniani sisi sote ni wasafiri! Ndiyo msemo ninaoweza kuanza nao katika makala haya maalum kwa aliyekuwa mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ aliyefariki dunia Ijumaa iliyopita baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ enzi za uhai wake. TUJIKUMBUSHE
Banza alizaliwa Oktoba 20, 1972 katika Hospitali ya Ocean Road...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mateso kwa bodaboda Dar hadi lini?

OPERESHENI ya kukamata pikipiki zinazoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam iliyoanzishwa zaidi ya miezi miwili iliyopita, imepokewa kwa mtazamo tofauti na wananchi hususani vijana wanaozitumia kwa kufanya biashara...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MWALIMU BAADA YA MATESO-5

Naendelea kuwaletea mfululizo wa matukio ya kuumwa kwa Mwalimu Nyerere hadi kifo chake.
Mwalimu alikuwa na desturi ya kufanya mazoezi na alikuwa mtu aliyefuata masharti na ushauri aliokuwa akipewa na madaktari. Daktari wa kwanza aliyekuwa anamhudumia Mwalimu baada ya Uhuru alikuwa ni Profesa Mhonoli. Kuanzia mwaka 1979 alihudumiwa na Profesa Makene akisaidiwa na Profesa Mtulia na Profesa Mwakyusa. Mwalimu alipostaafu mwaka 1985...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MWALIMU BAADA YA MATESO- 2

Naendelea kuwaletea mambo yaliyojiri wakati Mwalimu Nyerere alipotoka kijijini kwake Mwitongo, Butiama kwenda kutibiwa nchini Uingereza hadi kifo chake. Agosti 26 na 27, 1999, vyombo vya habari Tanzania, kwa mara ya kwanza viliripoti wazi kwa umma kuwa hali ya Mwalimu Nyerere haikuwa nzuri, lakini wasaidizi wake walipata kigugumizi kusema ukweli, kwa kusingizia kuwa wao hawakuwa madaktari. MWANZO HADI MWISHO
Septemba, Mosi...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MWALIMU BAADA YA MATESO-4

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Naendelea kukuletea mambo yaliyojiri wakati Mwalimu Nyerere alipokuwa akiugua nchini Uingereza hadi alifariki dunia. Awali, madaktari walitaka kibali cha familia ili mashine hizo zizimwe au ziachwe.
“Madaktari walitupatia muda wa kuamua kuhusu nini kifanyike. Ulikuwa uamuzi mgumu sana kwa familia. Hapakuwapo na mgawanyiko isipokuwa ulikuwapo mjadala ambalo ni jambo la kawaida katika...

 

11 years ago

GPL

MAMA ZITTO; MATESO MIEZI TISA, KIFO

Stori: Waandishi wetu
Mwenyekiti  wa Taifa wa Chama cha Walemavu Tanzania (Chawata), Shida Salum Mohamed, aliyefariki dunia juzi (Jumapili) wakati akiendelea kupatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Ami, Masaki, Dar es Salaam, aliteseka kwa miezi tisa kabla ya kifo chake. Rais Kikwete alipokwenda kumjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum Mohamed alipokuwa ICU kwenye Hospitali ya Ami, Masaki, Dar es Salaam.
...

 

10 years ago

GPL

MAMA KIKWETE GUMZO KIFO CHA BANZA!

GLADNESS MALLYA SAFI! Mke wa Rais mama Salma Kikwete ameibuka na kuwa gumzo baada ya kifo cha mwanamuziki nyota, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kufuatia ahadi yake ya kumsomesha mtoto wa marehemu, Haji ambaye yupo kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Turiani, iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Ik5pZP ...

 

9 years ago

GPL

MIAKA 10 YA MATESO KITANDANI, KIJANA ASEMA: NAKIONA KIFO HIVIHIVI

Mustapha Haruna akiwa amevimba tumbo na kulazwa hospitali ya rufaa Bugando, Mwanza. Gabriel Ng’osha na Haruni Sanchawa Eeh! Mungu tenda miujiza! Ni maneno ambayo unaweza kuyasema ukimuona Mustapha Haruna (32), mkazi wa Ndala mkoani Shinyanga anayesumbuliwa na tumbo kujaa maji baada ya moyo wake kupanuka. CHANZO CHA UGONJWA Akizungumza na Uwazi, kwa njia ya simu kutoka mkoani Shinyanga mama mzazi wa Mustapha,  Hidaya Mrisho...

 

10 years ago

GPL

WOLPER: MIMI NA LOWASA HADI KIFO

SHANI RAMADHANI STAA wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita kufuatia kambi yake ya kisiasa ya Edward Lowassa ‘Timu Lowassa’ kukatwa jina kwenye kinyang’anyiro cha urais mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akisema yeye na Lowassa ni mpaka kifo, Amani limeinyaka....Soma zaidi===>http://bit.ly/1SoLmdV ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani