Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki watakiwa kuheshimu waamuzi Unguja

VIONGOZI wa klabu za soka wilaya ya Magharibi Unguja wametakiwa kuwadhibiti wachezaji wao na mashabiki, ili kuacha kuwakebehi waamuzi wanapokuwa uwanjani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Madereva watakiwa kuheshimu sheria

MADEREVA wametakiwa kuheshimu sheria na kanuni za usalama barabarani hususani katika suala la matumizi ya alama zinazoakisi mwanga pindi magari yao yanapoharibika au kupatwa na dharura. Akizungumza jijini Dar es...

 

11 years ago

Habarileo

Wahitimu uuguzi watakiwa kuheshimu viapo vyao

WAHITIMU wa mafunzo ya ukunga na uuguzi nchini wametakiwa kuepukana na vitendo vya kuwanyanyasa wagonjwa vinavyolalamikiwa kufanywa na baadhi ya watumishi hao.

 

11 years ago

Michuzi

Wamiliki wa Vyombo vya habari watakiwa kuheshimu taaluma ya habari

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na Baadhi ya Wafanyakazi wa chumba cha habari cha Clouds Media wakati wa Ziara ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari kwenye Vyombo vya habari. Kulia ni Mhariri Mkuu wa Clouds Media Joyce Shebe na Kushoto ni Mhariri wa Habari za Michezo Shaffih Dauda. Mhariri Mkuu wa Clouds Media Joyce Shebe akieleza jambo wakati wa Ziara ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari kwenye Kituo hicho katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Mashabiki watakiwa kuwa na subra

Mlinzi wa Ivory Coast Kolo Toure amewataka mashabiki katika michuano ya mataifa ya Afrika nchini Equitorial Guinea kuwa na Subra

 

10 years ago

StarTV

Wananchi waombwa kuheshimu sheria

Watanzania wameombwa kuitunza amani na utulivu vilivyopo nchini ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha amani.

Maombi hayo yamekuja mara baada ya kuibuka taarifa za kuwepo kikundi cha watu wanaotishia kufanya maandamano bila ya kibali kwa lengo la kupinga kuapishwa kwa Rais mteule wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli.

Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Bin Yunusi Ally Mnyasi amesema ni muhimu wananchi wakaheshimu vyombo vya dola na mamlaka iliyowekwa kisheria ili kuondoa uvunjifu...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wataka vyama kuheshimu maadili

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Omar Hamdani amewataka viongozi wa vyama vya siasa, kuheshimu maadili na kuzingatia sheria za uchaguzi ili kulinda amani na utulivu.

 

10 years ago

Habarileo

Shein, Seif waahidi kuheshimu matokeo

MAMIA ya wananchi wa Zanzibar wamejitokeza kwa wingi kupigakura katika uchaguzi mkuu huku wagombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia vyama vinavyopewa nafasi kubwa ya kushinda Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi(CUF) wakiahidi kuheshimu matokeo ya uchaguzi.

 

10 years ago

Habarileo

Membe awataka wenzake kuheshimu matokeo

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewataka wenzake wanaowania kuteuliwa na CCM kugombea urais wa Tanzania kuwa tayari kuyaheshimu matokeo yatakayoamuliwa na Kamati Kuu, Halmashauri Kuu ya Taifa na Mkutano Mkuu wa CCM katika mchakato wa kumpata mgombea bora wa chama hicho baadaye mwezi ujao.

 

9 years ago

Michuzi

TFF YAVITAKA VILABU KUHESHIMU TARATIBU

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limevitaka vilabu vyote nchini vya Ligi Kuu (Vodacom), Ligi Daraja la Kwanza (StarTimes), na Ligi Daraja la Pili (SDL) kuheshimu utaratibu uliowekwa wa usajili na utekelezaji wake, kwani TFF haitapendelea klabu yoyote katika suala hilo.
TFF inachukua fursa hii kuwakumbusha viongozi wote wa vilabu kuhusu kalenda ya mwaka ya usajili ambayo ina vipindi viwili,
(i)  Dirisha Kubwa la Usajili  (Juni 15 – Agosti 20)
(ii)  Dirisha Dogo la Usajili (Novemba 15 –...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani