Shein, Seif waahidi kuheshimu matokeo
MAMIA ya wananchi wa Zanzibar wamejitokeza kwa wingi kupigakura katika uchaguzi mkuu huku wagombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia vyama vinavyopewa nafasi kubwa ya kushinda Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi(CUF) wakiahidi kuheshimu matokeo ya uchaguzi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Jun
Membe awataka wenzake kuheshimu matokeo
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewataka wenzake wanaowania kuteuliwa na CCM kugombea urais wa Tanzania kuwa tayari kuyaheshimu matokeo yatakayoamuliwa na Kamati Kuu, Halmashauri Kuu ya Taifa na Mkutano Mkuu wa CCM katika mchakato wa kumpata mgombea bora wa chama hicho baadaye mwezi ujao.
9 years ago
Habarileo24 Aug
Maalim Seif: Nitaheshimu matokeo uchaguzi mkuu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar, huku akisema endapo akishindwa kuibuka mshindi, ataheshimu matokeo na kumpongeza atakayeshinda.
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Ni Shein na Maalim Seif
10 years ago
Mwananchi01 May
Moyo: Nilitumwa kumshawishi Seif akubali matokeo 2010
9 years ago
Habarileo11 Nov
Mazungumzo ya Shein, Seif yapongezwa
WANANCHI wengi Zanzibar wamefurahishwa na juhudi zilizoanza kuchukuliwa za mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad ambayo yameshusha joto la kisiasa Zanzibar lililotokana na kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Maalim Seif awavaa JK, Dk. Shein
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amewataka Rais Jakaya Kikwete na Dk. Ali Mohamed Shein wasikubali kudanganywa na vigogo waliosimamia Bunge Maalum la Katiba (BMK)....
9 years ago
Habarileo25 Aug
Shein rasmi kumvaa Maalim Seif
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amechukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar, akiomba ridhaa kwa wananchi aweze kuongoza katika kipindi kingine cha miaka mitano, ambapo sasa atapambana na mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad.
9 years ago
Habarileo10 Nov
Shein, Maalim Seif wateta Ikulu
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekutana katika Ikulu ya Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Uchaguzi Mkuu uliofutwa.
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Dk. Shein avutana na Maalim Seif Zanzibar
Na Esther Mbussi, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Alisema kauli inayozungumzwa na wapinzani kwamba chama hicho kimekuwa kikiiba kura katika uchaguzi ni kauli za ghiliba na vitisho ambazo hazipaswi kutolewa na kiongozi aliyebobea.
Rais huyo wa Zanzibar pia alisema hakuna sababu za msingi za kuifanyia mabadiliko Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikiwamo kuwaondoa watendaji...