Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mazungumzo ya Shein, Seif yapongezwa

WANANCHI wengi Zanzibar wamefurahishwa na juhudi zilizoanza kuchukuliwa za mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad ambayo yameshusha joto la kisiasa Zanzibar lililotokana na kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF NA MH. LOWASSA WAKUTANA KWA MAZUNGUMZO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana Jana, jijini Dar es salaam. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa katika Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

10 years ago

Vijimambo

MH. LOWASSA AKUTANA NA MAALIM SEIF KWA MAZUNGUMZO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana Jana, jijini Dar es salaam.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa katika Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

11 years ago

Habarileo

Maalim Seif ataka mazungumzo Katiba mpya

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Serikali imeshatumia fedha nyingi za wananchi kwenye mchakato wa kuandaa Katiba mpya, hivyo kitendo cha kushindwa kukamilisha mchakato huo kwa wakati, itakuwa ni hasara kubwa kwa taifa.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI SEIF IDDI




Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (kushoto) aliyefika ofisni kwake, Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuteuliwa hivi karibuni kushika nafasi hiyo. Wengine pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Dk. Shein akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Uholanzi nchini Tanzania Mhe,Jaap Fredriks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Uholanzi nchini Tanzania Mhe,Jaap Fredriks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afanya Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa COMORO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano kutoka Comoro Abdoulkarim wa Mohamed alipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzo na Rais. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano kutoka Comoro Abdoulkarim wa Mohamed alipofika Ikulu Mjini Unguja jana.Picha na Ikulu,Zanzibar.

 

5 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ASEMA AMEFURAHI KUKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MAGUFULI


Na Said Mwishehe, Michuzi Blogu ya Jamii
MWANASIASA mkongwe nchini ambaye kwa sasa ni Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amesema anamshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa kukutana na kufanya mazungumzo naye.
Maalim Seif amekutana na Rais Magufuli ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu ajiunge na ACT –Wazalendo akitokea Chama cha Wananci(CUF).Hata hivyo kabla ya kuondoka CUF alishawahi kukutana na kufanya mazungumzo na Rais.
Akizungumza baada ya mazungumzo yake na Rais Magufuli,...

 

5 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa China


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar  Bw. Xie Xiaowu wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa  ajili ya kusalimiana Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA JAPAN NCHINI TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Japan katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Masahau Yoshinda alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha kwa Rais Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na na Balozi mpya wa Japan katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Masahau Yoshinda alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha kwa Rais.[Picha na Ikulu.]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani