Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif: Nitaheshimu matokeo uchaguzi mkuu

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar, huku akisema endapo akishindwa kuibuka mshindi, ataheshimu matokeo na kumpongeza atakayeshinda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif awataka WanaCUF kutovunjika moyo na matokeo ya uchaguzi mdogo jimbo la Kiembesamak

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akifungua mkutano wa viongozi wa matawi, majimbo na Wilaya kwa Wilaya za Wete na Micheweni uliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Na Khamis Haji , OMKR Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho wasivunjike moyo na matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kiembesamaki na badala yake waendelee na juhudi za kukiimarisha chama, ili kiweze kukamata...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF ADHAMINIWA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR UCHAGUZI MKUU UJAO

Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi fedha taslim Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, ili aweze kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha fedha alizokabidhiwa kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais.Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, cheti cha heshima kutokana na uongozi wake.

 

9 years ago

Dewji Blog

ZEC: Maalim Seif anapaswa kuchuliwa hatua za kisheria kwa kutangaza matokeo

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imesikitishwa na kitendo cha mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kujitangazia ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili tarehe 25 Oktoba, 2015 na imevitaka vyombo vinavyosimamia utii wa sheria kumchukulia hatua kiongozi huyo wa CUF.

“kitendo cha Maalim Seif kujitangaza mshindi amevunja kifungu cha 42 (5) cha sheria ya mwaka 1984 ambacho kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kuwa chombo pekee chenye mamlaka hayo” Mwenyekiti...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif: CUF jipange kwa uchaguzi

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kuanzisha mitandao ya kupeana taarifa kuhamasishana na kusaidiana kutafuta vitambulisho vya kupigia...

 

10 years ago

Mwananchi

ZEC yamjibu Maalim Seif uchaguzi Zanzibar

Siku moja baada ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kutoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuandikisha wapigakura wasio na sifa, tume hiyo imeibuka na kukanusha vikali.

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi rahisi CUF: Maalim Seif na timu ya ushindi 2015

>Ni uamuzi wa kikatiba uliofanywa na Chama cha Wananchi (CUF) kufanya mkutano wa sita wa taifa kwa siku tano uliomalizika wiki iliyopita.

 

11 years ago

Habarileo

UCHAGUZI WA CUF:Wawili kumkabili Lipumba, Maalim Seif mgombea pekee

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim LipumbaMWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, na Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad bado wanahitaji kuendelea na nafasi hizo za uongozi kitaifa baada ya kuchukua fomu kuzitetea katika uchaguzi utakaofanyika wiki hii.

 

9 years ago

Michuzi

JAJI MARK BOMANI AMSHAURI MAALIM SEIF AKUBALI UCHAGUZI URUDIWE

Jaji  Mkuu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Boman akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
JAJI Mkuu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Boman amesema kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja Zanzibar, Maalim Seif Hamad akubali uchaguzi urudiwe Zanzibar kwani kama alishinda atashinda tena kutokana na waliompigia katika uchaguzi ulifutwa watampIgia kura tena.
Boman ameyasema hayo leo jijini Dar eS Salaam , wakati akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani