JAJI MARK BOMANI AMSHAURI MAALIM SEIF AKUBALI UCHAGUZI URUDIWE

Jaji Mkuu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Boman akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
JAJI Mkuu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Boman amesema kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja Zanzibar, Maalim Seif Hamad akubali uchaguzi urudiwe Zanzibar kwani kama alishinda atashinda tena kutokana na waliompigia katika uchaguzi ulifutwa watampIgia kura tena.
Boman ameyasema hayo leo jijini Dar eS Salaam , wakati akizungumza na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Jaji Mark Bomani atetea Serikali tatu
10 years ago
VijimamboJAJI MARK BOMANI MGENI RASMI UTOAJI TUZO KWA WATANZANIA WALIOTOA MCHANGO MKUBWA KUTETEA HAKI NA JAMII NCHINI DAR ES SALAAM JANAâ€
10 years ago
GPLJAJI MARK BOMANI MGENI RASMI UTOAJI TUZO KWA WATANZANIA WALIOTOA MCHANGO MKUBWA KUTETEA HAKI NA JAMII NCHINI DAR ES SALAAM JANA
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Nilimwachia huru Maalim Seif Sharif Hamad - Jaji Ramadhani
11 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Maalim Seif: CUF jipange kwa uchaguzi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kuanzisha mitandao ya kupeana taarifa kuhamasishana na kusaidiana kutafuta vitambulisho vya kupigia...
10 years ago
Mwananchi12 May
ZEC yamjibu Maalim Seif uchaguzi Zanzibar
10 years ago
Habarileo24 Aug
Maalim Seif: Nitaheshimu matokeo uchaguzi mkuu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar, huku akisema endapo akishindwa kuibuka mshindi, ataheshimu matokeo na kumpongeza atakayeshinda.
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Shibuda: Uchaguzi Zanzibar urudiwe
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Uchaguzi rahisi CUF: Maalim Seif na timu ya ushindi 2015