Shibuda: Uchaguzi Zanzibar urudiwe
Katibu Mkuu wa chama cha ADA-Tadea, John Shibuda amevitaka vyama vyote vya siasa vilivyosimamisha wagombea Zanzibar kukubali kurudia uchaguzi ili kumpata mshindi halali atakayetokana na kura za wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
JAJI MARK BOMANI AMSHAURI MAALIM SEIF AKUBALI UCHAGUZI URUDIWE

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
JAJI Mkuu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Boman amesema kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja Zanzibar, Maalim Seif Hamad akubali uchaguzi urudiwe Zanzibar kwani kama alishinda atashinda tena kutokana na waliompigia katika uchaguzi ulifutwa watampIgia kura tena.
Boman ameyasema hayo leo jijini Dar eS Salaam , wakati akizungumza na...
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.
10 years ago
Michuzi
TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YATANGAZA MAJIMBO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

10 years ago
Vijimambo
TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR YAFUTA UCHAGUZI WA ZANZIBAR



10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.
Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.
9 years ago
Michuzi
WAJUMBE WA BARAZA LA WAKILISHI WA CUF ZANZIBAR WAMEPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR KUFUTWA
Wajumbe 27 wa baraza hilo wamewasili jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandishi wa habari juu ya kizungumkuti cha matokeo ya uchaguzi kufutwa huku wakiwa wenyewe hatambui hatua hiyo.
Akizungumza mmoja wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,...
5 years ago
CCM Blog
MWENYEKITI WA ZAMANI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ZANZIBAR (ZEC), JECHA SALUM JECHA AOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR



9 years ago
Michuzi
Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa EU watoa wito kwa ukamilishwaji haraka wa mchakato wa uchaguzi Zanzibar kulingana na kanuni za chaguzi shirikishi, za uwazi, zinazotekelezwa kwa wakati na za kuaminika

Kufuatia Siku ya Uchaguzi tarehe 25 Oktoba, Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya umebaki nchini kufuatilia chaguzi zilizoahirishwa Tanzania Bara na mchakato uliyositishwa Visiwani Zanzibar, baada ya tamko la Mwenyekiti wa Tume ya...
10 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
Uchaguzi Zanzibar
Mpenzi mfuatiliaji wa mzalendo.net unaweza kufuatilia kinachoendelea katika uchaguzi wa Zanzibar kupitia www.chuchufm.com wapo live kwa walio na computers na wale walio na smart phones unaweza kudownload app yoyote, andika radio tanzania kama una google playstore […]
The post Uchaguzi Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.